mbowe

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Freeman Mbowe (Nicole) aachiwa na Jeshi la Polisi

    Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024. - LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 Nicole ameonekana nje ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mbowe achana na watanzania watakufedhehesha.

    Naam bila shaka wote wazima. Mimi sio mwanasiasa hivyo sio mtaalamu sana na siasa ,ila naelewa maisha yangu 100% yanaongozwa na siasa. Siasa ndo inapanga bei ya mkate,mafuta,vyakula nk ,siasa ndo inapanga muda wa kuamka, kulala,usalama wako afya nk hivyo kujiepusha na siasa ni kujidanganya. Mh...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  7. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

    Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile. Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi? Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
  8. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

    Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au? Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

    Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please! Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
  13. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe itisha harambee tuwachangie polisi watakalinda maandamano kesho 23 Septemba 2024

    GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Hizi ndizo njia ambazo Maandamano yetu yatapita

    Kupitia ukurasa wake wa X, Freeman Mbowe ametoa njia ambazo zitatumika kwaajili ya maandamano yanayotarajiwa kifanyika Septemba 23, 2024. Njia ya kwanza - Magomeni kupitiq barabara ya Morogoro mpaka viwanja vya Mnazi Mmoja Njia ya pili - Ilala Boma Sokoni kupitia barabara ya Uhuru mpaka...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Trh 23 ni kipimo sahihi cha uenyekiti wa Mbowe.

    Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake. Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye kumkabidhi Tundu Lissu mwenye hasira za kutosha, ana faili lake sehemu na huwa hana uoga wowote...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  19. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
Back
Top Bottom