Tetesi za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti wa chama hicho zikiendelea kusambaa, maoni mseto yameibuka miongoni mwa wanachama.
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Makambako, Begron Kyando, amesema ni wakati wa Freeman Mbowe kuachia nafasi hiyo baada ya kuongoza kwa muda...