mbowe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe anamuogopa Mbowe balaa!

    Nilivyosikia tu, 'wanataka kunidhuru halafu wamsingizie Mhe. Mbowe....'; nikajua kazi hakuna......amekwisha. Aisee kumbe huyu Mbowe ni bonge la Mafia aisee, ukiacha zitto, wengine wote wanamgwaya!! Shikamoo mbowe
  2. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni muhimu ukajitokeza hadharani,na useme kuwa hautagombea, bila hivyo madudu mengi yatawekwa peupe

    Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Muhimu sana: Tujikumbushe Ahadi ya Freeman Mbowe kung'atuka 2023

    My Take. Ni vizuri Mbowe akatekeleza hivi ahadi yake, otherwise atuambie kama haitekeleziki na kwa nini?
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Mbowe atashinda kwa kishindo? Angalia namna kanda zilivyojipanga, na Mbowe ana nguvu wapi dhidi ya Lissu

    Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini? Huko wala haina haja ya kuuliza, kitapita kimbunga ambacho dunia haijawahi ona. Kanda ya ziwa? Wenje...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe usikubali kumkabidhi Lissu chama! Kama mbaya, mbaya!

    Huyu utamwaminije? Msikilize hapa Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi seriously Mbowe wataka kugombea tena ??

    Mheahimiwa, inatosha. Utakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani. 1. Utawapa meno na uthibitisho wanaosema chadema ni mradi wako binafsi, 2. Kuwa kama zito, kaa pembeni uwe mshauri, 3. Waachie damu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ukweli Mbowe ni kiongozi mzuri sana lakini misimamo mikali ni muhimu kwa sasa

    Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata kiongozi bora mmoja. Hata Kama Lissu akipata uwenyekiti ni lazima awekewe watu makini sana wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

    Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani. Mtapoteza uhalali wa kuhoji katiba hii mbovu tuliyonayo na hata madai ys tume huru nayo yatakuwa yamekufa kifo cha mende kwasababu ni...
  11. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: John Heche chukua fomu ya kungombea wenyekiti Taifa (CHADEMA) Lissu na Mbowe wote wapigwe chini

    Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado...
  13. O

    JamiiForums Tanzania WanaCCM na 'Team Mbowe' waungana kumkabili Tundu Lissu

    Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama. Maswali ya kujiuliza. Kwanini CCM wametikisika baada Lisu kutangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa CHADEMA? CCM inafaidika na nini...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

    Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania LIssu alikosea, Mbowe hakuvunja katiba kuwa mwenyeti kwa muda mrefu

    Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa? Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama? Kama chadema wanataka chama chao kife, basi wamkumbatie Lissu. Dunia nzima sasa hivi imekumbatia...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni kiongozi mzuri ila kiroho ameshakataliwa na akilazimisha kutaka kuwa Mwenyeketi itamletea madhara hasi.

    Kwanza hongera Sana Mh Mbowe Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge. Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi. Yapi madhara hasi yatatokea Utakosa nguvu Utakosa Sauti ya kusikika...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza kushinda uenyekiti CHADEMA Taifa kwa zaidi ya 75%

    Wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa, watakutana kupiga kura na kumchagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa, tarehe muafaka itakayotangazwa na kamati kuu. Kwa hali ya kisiasa ilivyo ndani ya chadema iliyogawanyika, ushawishi wa Freeman Aikaeli Mbowe...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hongera Uncle Mbowe. Wachaga tumetumwa kutafuta hela sio sifa

    Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa. Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu mkubwa. Niwazi uncle Christmas itakuwa safi sana. Tukutane Hai, wamachame tuna jambo letu.
Back
Top Bottom