mbowe

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi . Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

    Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu. Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    KWANINI NI MBOWE NA SIO LISSU NA KWANINI CHADEMA HAIFI? Mchakato wa Uchaguzi wa Chama Taifa umeanza, na tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Ndugu Tundu Lissu amejitokeza kutangaza nia nia ya kuwania Uenyekiti Taifa, Ninakubaliana kwamba Tundu Lissu ni kiongozi mzuri mwenye misimamo...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbowe hana mpango mkakati mpya wa mabadiliko kwa uchaguzi wa 2025.

    CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani. Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

    MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA) VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa? Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka chama mbele. VOA: Plani yako nini kama ukiwa M’kti, unapeleka chama vipi? Lissu: Hapa tulipo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

    Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu. Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Picha ya kikoa cha leo Lissu kajimaliza kisiasa kwa ushawishi wa msigwa
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

    Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka. Mpaka sasa, tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu, Uwezo wao na Madhaifu yao

    Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala. 4...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

    Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea. Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo. Kwa hiyo anaweza kugombea Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti...
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

    Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia. Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe. Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Watu wake wa karibu: Mbowe ana taarifa zote kuhusu Lisu kugombea uenyekiti, Porojo za mitandaoni ni kuchangamsha genge tu

    Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana taarifa zote. "Unajua hata ombi la Lisu kutaka kuondoa kusudio la kugombea umakamu mwenyekiti, kamanda...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwa point tuliyofika kama nchi chadema hakimuhitaji tena mbowe kama mwenyekiti huo ndo ukweli

    Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza Kukaa jela hata miaka 10 Kufa Kuteswa Kwa sababu ccm sio tena chama cha siasa ni genge la wahuni mfano uchaguzi wa serikali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Mzee Mbowe ni CHADEMA kutegemea Jina la Mtu badala ya Taasisi

    Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi . Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema. Majina...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakuitengeneza CHADEMA kama chama Cha kushika Dola Bali kama taasisi ya kutengeneza fedha haina budi wengine wampokee

    Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kiligombea nafasi ya 2005 mgombea akiwa Freeman akipata asilimia 5.88 na poit hivi Mwaka 2010 mgombea akiwa Dr...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je tuamini katika busara za Mwenyekiti Mbowe au tuamini katika ujasiri na misingi thabiti anayo amini Tundu lissu?

    Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko madarakani. Kuna tunaoamini hatuwezi kuitoa CCM madarakani kwa Busara na utendaji kazi wa Mzee Mbowe...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakupaswa kusubiri watu watangaze kugombea uenyekiti bali alitakiwa awe ametang'atabgaza kung'atuka kabla

    Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama utakuwa kiongozi mzuri kiasi gani. Kuna wakati utafika watu watatakka ukae pembeni upishe wengine. Sio...
  20. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nani amesema kuwa Freeman Mbowe atagombea tena uenyekiti CHADEMA?

    Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa CHADEMA utakaofanyika mwakani. Kuna siku nilimsikia Lissu akisema kuwa mtia-nia yeyote ndani ya CHADEMA...
Back
Top Bottom