mbowe

  1. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Lissu nakusihi tena kwa Mara nyingine fukuza hawa Wapambe wa Mbowe na CCM,Usiwe na akili za Magufuli

    Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

    Nawazungumzia watu kama Godlisten Malisa ambaye ajira yake ya kwanza aliipata ndani ya ofisi ya KUB baada ya Chadema kushinda kura nyingi na kuwa chama kikuu cha upinzani kwa mara ya kwanza. Anasahau kuwa fadhila hazikutoka kwa Mbowe bali zilitoka kwetu sisi tulioipigia kura Chadema na...
  5. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa ujio wa Tundu Lissu, CCM na Samia itafika mahali wajutie kushindwa kwao kutekeleza maridhiano na Mbowe

    Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro. Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
  6. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Mbowe waombe radhi wana CHADEMA, bado wana makovu moyoni

    Wasalaam. Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna majasusi kuhakikisha malengo yanatimia. Inasikitisha kwa miaka 20 mh mbowe amekua jasusi wa ccm ndani...
  7. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

    Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM, Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi aeleza kuwa Tanganyika Lawyers' Society (TLS) hawajalamba asali

    Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa; "Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI John Heche aliahidi kuwashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono

    Salaama wakuu Katika pitapita zangu huko katika mtandao wa TikTok nimekutana na hii video ya Heche akisema watawashughulikia team Mbowe kwa sababu hawakuwaunga mkono. JamiiCheck naomba kupata uhalisia wa video hii kama ni ya kweli
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu watafanyakazi pamoja dhidi ya CCM

    Jana Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Tundu Lissu, alikwenda kwa mara ya kwanza makao Makuu ya CHADEMA kama Mwenyekiti wa chama hicho. Lakini tangu ashinde nafasi hiyo mambo mengi yamesemwa dhidi yake na pande mbili zilizokuwa kinyume chake. Upande wa kwanza ni watu wa CCM. Na ingekuwa ajabu kama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu alikuwa na wagombea wake uchaguzi CHADEMA? Huu ndio ubaguzi aliompinga Mbowe?

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari. Ni kura ya mabadiliko pekee...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

    Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu. Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga. Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ingetokea mbowe angeshinda hivi ndivyo machawa wa mbowe walijipanga kutusimanga, Tungesimangwa tuchakae

    Ujue unafiki tuweke pembeni! Adui akikosa na wewe kama una mmudu malizana nae Laiti mbowe angeshinda wale watoto walikuwa wameandaa masimango makubwa hatari! Haya ni machache tu! 1. Wafuasi wa lissu tuliwaambia kura ni ujasusi wa namba mbowe ni alpha na omega 2. Lisu tulimuonya hakusikia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe asema baada ya kushauriana na familia yake, atawasilisha rufaa yake makao makuu ya CHADEMA

    Wakuu salama? Nimekutana na hii kwamba Mbowe ameshauriana na familia yake na ameahidi kukata rufaa, je ina ukweli wowote hii?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa ataongea nini baada ya Mbowe kuondoka CHADEMA na kuingia Lissu aliyekuwa anamsifu?

    Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika Mikutano yao kwa ajili ya kufurahisha tu wafuasi wao kwa Matusi yake kwa Mbowe. Sasa Mbowe kaondoka...
Back
Top Bottom