Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa!
Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM.
Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!.
Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi
Hivo Fukuza mara Moja.
Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo
Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana .
Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile.
Silaha pekee alizonazo LISSU...
Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala.
Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao CCM ambao wamefikia hata kukosa mvuto ndani ya chama na kukomalia swala CHADEMA zaidi.
https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman Mbowe.
Hando anasema Lissu anamaanisha kuwa Mbowe alikuwa anafanya biashara ya kisiasa kuanzisha...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameweka video hii na kuambatanisha na ujumbe huu:
"Hii ndio reform Watanzania wanataka Siyo zile reform za Lissu na Heche , Watanzania wanaakili ...
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.
1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko
2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election
3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia
4...
Naam....
Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo zimedorora ili awape endorsement.
Lissu ameamua kuitenga kanda ya kaskazini kwa kuwa anaamini haikumpa kura
Nimeshaandika mara kibao!
Chadema wale vijana wa mbowe wamepewa kazi kuuhujumu uongozi wa lissu.
BAVICHA Mnalemba nini kuwaonya hawa vijana wenzenu?
Yericko Nyerere, Nchome, Ntobi walitakiwa wawe wameshashika adabu mpaka muda huu!
Habari nilizopokea za maagizo ya hao vijana zitakichafua chama...
Hakuna ubishi kuwa tangu Lisu achukue nafasi hiyo kwa figisu kali dhidi ya Mbowe, Chama kimepoteza mvuto na ushawishi.....kadiri siku zinavyo zidi kusonga mbele ndivyo athari ya kukosekana kwa Mbowe inavyo zidi kuonekana, chama kimepwaya sana, kimepoteza nguvu na ushawishi.
tuache masihara Mbowe...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema alishiriki wazi kumpinga Freeman Mbowe wakati akiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, akisisitiza kuwa hakufaa kuendelea kuongoza chama hicho.
Akizungumza katika mahojiano na kituo cha redio cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.