mbowe

  1. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
  2. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi Chadema?

    Kwa nini begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi wa CHADEMA, ilhali taratibu hizo zilifanyika kwa wengine? Swali hili linaibua maswali juu ya usawa wa utekelezaji wa taratibu za kiusalama, hasa katika mazingira ambayo uwazi na haki ni muhimu.
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mnyika anafanya upotevu wa muda usiku uingie ili Dola imsaidie Mbowe. Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vitabu

    LISSU STUKA! Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe. Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

    Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho. Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yericko Nyerere: Wajumbe tutakomesha Matusi ya Lissu aliyotutukana kwa kumchagua Mbowe kwa 90%

    Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%. Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana...
  6. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo. Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
  7. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tito Magoti: Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CHADEMA

    Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM. Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu. Hakutaka uamuzi huo uhojiwe. Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani. Itakuwa na vipenyo wangapi. FAM is clearly terrorising party electoral process.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wakili LIVINO: Sasa ni wazi Mbowe ni Kaburi rasmi la CHADEMA , Mbowe ndio mauti ya Upinzani wa Tanzania

    Anaandika Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzània Livino == UZIMA NA MAUTI: UNACHAGUA NINI? (Maalumu kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu - CHADEMA 2025) Chagueni hivi leo mtajayemtumikia. YOSHUA 24:15. 1. FREEMAN MBOWE ni KABURI la CHADEMA. Mbowe ni Mauti ya Upinzani: Chagua Mbowe; uvune mauti na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema amtaka Lissu atoke katika vikao vya Baraza Kuu aende Makao Makuu ya Chama

    Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho ! Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni. Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lema anahitaji ushauri wa saikolojia, hayupo sawa. Atunga kitabu kuhusu Mbowe

    Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Masikini wengi huwa na chuki na matajiri, ukianza kupata chochote hama sehemu za hohehahe, Mbowe aliwanyanyua, leo wanamsimanga kwa kuwanyanyua

    Hii ndio tabia ya masikini, hawapendi watu wenye kipato, badala wawapende ili waonyeshwe njia. Mbowe alikaa katikati ya kundi hilo, akatoa fedha, magari na kila kitu awanyanyue. Lahaula, wakanyanyuka, wakaanza kumvurumishia matusi, kashfa na kila kitu. Ushauri: ukiwa na hela keep the money...
  12. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa anatoa rushwa na rushwa haimpendezi Mungu natangaza kwa Jina la Yesu Mbowe hashindi huu Uchaguzi labda kama Mimi sisali kwa Bulldozer Mwamposa

    Anaandika Mjumbe wa Mkutano Mkuu === "Mbowe na wote wanaogawa rushwa natangaza kuwafuta katika Ulimwengu wa Kiroho na natangaza hawatashinda wale wote wanaogawa rushwa. Natangaza Lissu & Heche kwa sababu ya haki Watashinda kwa kura nyingi sana Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa haki. Nataka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dua ya kumuombea Mbowe

    Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA. Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki. Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie. Mshushie baraka na...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya uchaguzi, namshauri Mbowe aanze na hili (akiwa kama Mwenyekiti kwa awamu nyingine)

    Kuanzia jana nimekuwa mtu mwenye furaha sana baada ya Mama Dr Samia kumaliza biashara mapema sana kuhusu urais wa Tanzania kwenye huu mwaka wa uchaguzi. Mama kawamaliza kisiasa wapinzani wa nje na ndani ya CCM waliokuwa wanaeneza uzushi kuwa 2025 kutakuwa na mwanachama mwingine wa CCM...
  15. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wajumbe mkutano mkuu CHADEMA wapokea bahasha nono, Mbowe mitano tena

    Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu zao ili wamchague Mbowe. Inasemekana kutokana na njaa kali ya January hii wajumbe wengi wameamua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kesho ni uchaguzi wenu Chadema, nachojua mimi Freeman Mbowe hawezi kuachia uenyekiti kwa Tundu Lissu, Never

    Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu. Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais. Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu. Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof Kitila Mkumbo: Mbowe hagombei uchaguzi ambao anajua ataenda kushindwa

    Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

    Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki, Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Mbowe kaahidiwa Majimbo, hivo Kwa namna yoyote anasaidiwa kua Mwenyekiti, Ushindi wa LISSU ukipokonywa, CHADEMA inakufa

    Chama ni watu na watu ni chama. Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao ni rahisi sana kununulika. Hata hivo, CHADEMA itakufa Kifo cha Mende endapo LISSU ATAPOKONYWA...
Back
Top Bottom