mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika (Laptop au Desktop) kama spare

    Wakuu Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika iwe Laptop au Desktop kama spare Wasiliana nami kwa 0767953873
  2. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  4. JamiiForums Tanzania Nanunua Genetator mbovu au Used kuanzia kva 10 had kva 2,000

    Nanunua Generator Mbovu au Used kuanzia 10kva to 2,000 kva. Npo Tabata Dar es salaam. Lakn nnafika popote kununua Mali. Kwa mawasiliano zaid ntafute kwa namba 0693296809
  5. JamiiForums Tanzania Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Deus Sangu: Usimamizi mbovu wa Rasilimali Watu unasababisha kushuka kwa utendaji kazi katika Taasisi za Umma

    NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika kuhudumia watumishi na kuacha uzembe na usumbufu wanaposhughulikia changamoto zao. Akizungumza leo...
  8. JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU kama spare. 0767953873

    Lete Laptop MBOVU nikupe pesa Bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  9. JamiiForums Tanzania Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  11. JamiiForums Tanzania Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  12. JamiiForums Tanzania Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine - Mbeya unaotumiwa na KenGold ni mbovu hauna hadhi ya Ligi Kuu

    Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa Ligi namba sita kwa ubora barani Afrika. Huu uwanja wa Sokoine unaotumiwa na KenGold ni kama shamba...
  14. JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu kama spare

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  16. JamiiForums Tanzania Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  18. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tunanunua laptop mbovu

    TUNANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE BEI MAELEWANO KUTOKANA NA MODEL, SPECS NA UBOVU TUPO ILALA - DSM 076 7953873
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…