Mkuu unaweza kuwa na power cord used? Laptop yangu nzima lakini power cord imekufa. Nilikwenda Kariakoo lakini naona niliyopata ina moto mkubwa laptop inapata moto sana. Labda fan zimekufa au nahitaji adapter. Aaaaargh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.