mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Deus Sangu: Usimamizi mbovu wa Rasilimali Watu unasababisha kushuka kwa utendaji kazi katika Taasisi za Umma

    NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika kuhudumia watumishi na kuacha uzembe na usumbufu wanaposhughulikia changamoto zao. Akizungumza leo...
  3. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU kama spare. 0767953873

    Lete Laptop MBOVU nikupe pesa Bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  5. danhoport

    JamiiForums Tanzania Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine - Mbeya unaotumiwa na KenGold ni mbovu hauna hadhi ya Ligi Kuu

    Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa Ligi namba sita kwa ubora barani Afrika. Huu uwanja wa Sokoine unaotumiwa na KenGold ni kama shamba...
  9. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu kama spare

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  10. R

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  14. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunanunua laptop mbovu

    TUNANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE BEI MAELEWANO KUTOKANA NA MODEL, SPECS NA UBOVU TUPO ILALA - DSM 076 7953873
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa, huduma mbovu kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mabasi Nyegezi na Nyamuhongolo (Mwanza) Vyumba vingi vya Biashara vipo tupu kutokana na uendeshaji mbovu

    Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
  17. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

    Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa. Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
  18. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Kero: Huduma mbovu Ofisi ya TANESCO Kahama.

    Ni hali ya kushangaza sana na taratibu ya ovyo. Leo nimetembelea ofisi ya TANESCO Kahama, kwa issue inayohusu umeme...cha ajabu naambiwa nirudi nikapige simu nakuomba huduma nikiwa nyumbani...namba niliyopatiwa ni namba ambayo muda wote iko "busy" 0733105423 TANESCO KAHAMA MJITAFAKARI.
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
Back
Top Bottom