Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 276
- 743
Habarini wana michezo. Naomba nisiwachoshe,naona kama upeo wangu wa kuangalia mchezaji mchezaji umefika mwisho bila kuona thamani ya huyu no 9 wa Man united.
Kwa mechi nyingi sana zimepita amekuwa mchezaji wa hovyo sana. Sikatai timu haipo kwenye form lakini yeye kazidi. Kinachonishangaza ni kuanza kila game,au ana cha ziada ambacho mimi sikioni kama Giroud wa kombe la dunia?