mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Djigui Diara ni Golikipa mzuri lakini amekuwa na nidhamu mbovu

    Djigui Diara ni Golikipa Mzuri sana na bora pengine kuliko kipa yoyote wa kutoka nje kuwahi kuja kucheza hapa Tanzania, lakini pia ndiye kipa kutoka nje amekuwa na nidhamu mbovu kuliko ila amekuwa anaruka sana vikwazo. Mechi na Simba alimfuata mwamuzi kama hivyo kwenye video ya pili, akalambwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  3. JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO ILALA DSM call: 0767953873 whatspp: 0639994549
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  5. JamiiForums Tanzania Chakuwaambia tu Watanzania Yanga ni mbovu kama hujakutana nayo..usiombe ukutane nao - Masao Bwire

    yaan mzee anazeeka na ucheshi wakee leoo katufurahishaaa sana anakwambia yanga n mbovu kama hujakutana ukikutana nayo utaweza jutia kwa nn uliingia uwanjani HAHAHAA 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 DON MASAU KWENYE UBORA WAKE
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtindo mbovu wa biashara

    Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo! Nikashangaa...
  7. JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  9. JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
  13. JamiiForums Tanzania SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  14. JamiiForums Tanzania Wana jamiiforum wenzagu kuna mic ambayo wakiitisha kutetea serikali mbovu inawekwa mjafahamu.

    Chunguzeni kuna mic ambazo ufahamu ni kituo gani wala chanzo chake. Na mic hizo utaziona zikiwa kwa wanao iongelea serikali hii ya kishenzi.
  15. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Leta Laptop mbovu nikupe pesa

    Nanunua Laptop mbovu kama spare, bei maelewano Ilala – DSM 0767953873
  18. K

    JamiiForums Tanzania Dira mbovu ya 2050 ndani ya katiba ya chama kimoja 1977

    Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
  19. JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu bei maelewano

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano. Ubovu Uwezo Model Ilala - Dsm 0767953873
  20. JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…