mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Askofu mbona haeleweki?

    Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌 ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
  3. JamiiForums Tanzania BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  4. JamiiForums Tanzania Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

    Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini. Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanga kuna nini mbona wapo nyuma sana?

    Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko. Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni. Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu Nataka nikate tiketi kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya mpaka sasa huyu akiendelea basi nyie ni zamu yenu mnayetunza.

    Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  8. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Jamiiforum ukweli usemwe kufuta matukio sio kwamba serikali inawepanda mbona mumerudishwa kwenye VPN.

    Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja. Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
  10. JamiiForums Tanzania Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  11. JamiiForums Tanzania Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

    GT Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu. Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona sisi kama taifa tulipiga kelele hayati Nelson Mandela aachiwe? Kuna ubaya gani EU kupiga kelele Lissu aachiwe!

    Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe. Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanafanya nini kwenye mkutano wa wazee? Na mbona inaonekana wako wengi!

  14. JamiiForums Tanzania Aiseee mbona hii ndio huwa miezi ya mvua na kibaridi flani hivi ila Hali NI kama jehanamu duuh

    Hii kit ina kimbia 30+ plus week kama ya tasty hivi
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona kama Gen Z tushaanza kupoteza focus kuhusu 9D

    Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D. Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake. Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watekaji wanajulikana mbona!

    Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli? Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na ikitokea amepata madhata kwa namna yoyote polisi wataanza na wewe. Sasa hili suala la mtu anamkosoa mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

    Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

    Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi? Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…