Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...