mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbona kama nashindwa kufanya Diet! Wakuu mnawezaje?

    Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari. Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
  2. JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  3. JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  4. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru-ARUSHA Umeme mbona tuko gizani, wapi umeme?

    Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

    Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP), Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
  6. JamiiForums Tanzania Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa. Baaasi
  7. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

    habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  9. JamiiForums Tanzania Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  10. JamiiForums Tanzania Ubunge sio ajira? Mbona wenye ajira ndio wanao kuomba wasio na ajira hawaombi

    Vijana wasio na ajira mbona hawajitokezi kuomba ujira UO? Mbona wenye ajira ndio wanao omba ubunge? Kasoro king msukuma ndo Hana ajira maana Hana elimu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbona kama upepo umebadilika tena? Oktoba Tunatiki kama wameshinda vile. NRNE kama imepoteza nguvu vile.

    Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile. Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu... Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza. Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Let's wait and see
  12. JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona CHAUMA na ACT wamechukia sana Bunge kutovunjwa?

    Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes. Cha kushangaza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama hawapo bungeni na mawazo yao ni kama watarudi au hatawatarudi?

    Wote hawapo hapo walipo. Wanagonga meza kama ushahidi tu. Wengi wao wanawaza tu juu ya kurudi mjengoni maana walishazoea maposho na malipo ya kikao .
  14. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  15. JamiiForums Tanzania Yale Mabango ya Barabarani Mama ametimiza mwaka huu mbona hayapo?

    Wakuu ! Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo huwa yanazungumzwa na Viongozi wa Chadema majukwaani (Tundu Lissu na John Heche). Hawa jamaa...
  16. JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona CCM ya Sasa hivi inaelekea kuwa CCM ya 2015 kurudi nyuma

    Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu. Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche. Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Iran ilisaidia Urusi kwenye vita vya Ukraine, sasa mbona inafanyiwa yote haya huku Urusi ikikaa mbali

    Sio siri, Iran inapigika haswa, uongozi wa kijeshi umefutwa, wanasayansi wamefagiwa, makambi ya kijeshi yamesambaratishwa, Israel imeteka anga, ndege zake zinaruka huku na ule zikipiga popote zinachagua kupiga, ilhali hii Iran moja ilijiingiza kwenye ugomvi wa Urusi na Ukraine, imekuaje...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…