mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Makazini kuna vita nyie? Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda. Nadhani ni kwasababu ya personality yangu. Mi si mtu wa kujipendekeza Sina shobo Nafanya kazi yangu naenda nyumbani. Lakini game inaonekana...
  2. Its even more crazier kufikiria kwamba jinsi mwanadamu anavyozidi kubunu mbinu za ku-survive ndivyo anavyoongeza njia zake za kupukutika

    Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine. Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu. Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
  3. Mbinu za asili za kupambana na wadudu/visumbufu kwenye mimea. Kataa kemikali

    ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA. 1.PILIPILI KALI Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana. JINSI YA KUTENGENEZA ...gramu 55 za pili pili ..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
  4. Tuliopigwa na M Poxy (Monkey poxy) Tukutane hapa kupeana mbinu za kujitibu

    Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy. Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana. Sidhani kama kuna tiba special ila kuna dawa za kutuliza (utapewa dawa nyingi sana) Meza kila...
  5. M

    Mbinu za kufanikiwa kwenye ufugaji

    Habari,Leo napenda kutoa elimu juu ya mbinu Bora za kufanikiwa kwenye mifugo yako; --- ✅ 1. Chagua Aina Bora ya Mifugo Tumia mbegu bora (high-yielding breeds) Angalia lengo lako: nyama, maziwa, au uzao ✅ 2. Malisho Bora na Lishe Sahihi Hakikisha chakula ni cha kutosha na chenye virutubisho...
  6. Ukiwa kama mstaafu, au mzoefu kazini, shauri au toa mbinu mbalimbali zinazofaa kwa mtumishi hasa wa local government azitumie ili afanikiwe kiuchumi

    Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
  7. Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  8. Mbinu za Hatari Alizotumia Gwajima Kuwatoroka Polisi

    Inaelezwa kwamba polisi walishindwa kumpata Gwajima ilhali walikuwa wamemzunguka. Maswali yanayoibuka ni je, aliwezaje kuwatoroka. https://youtu.be/yQ2zT0LD5qg?si=Brdvz6bRNVe6d2_e TANGAZO: ‘Likizo Time’ Mlete mwanao asome nasi katika kituo chetu kwa kipindi hiki cha likizo, masomo yote...
  9. Zijue mbinu za kushinda uzinzi/zinaa

    Uzinzi unasababisha mateso makubwa kwa watu wengi duniani. Miongoni mwa mateso hayo ni kuambukizwa Virusi vya Ukimwi(VVU), vinavyodhoofisha kinga ya mwili na kuhatarisha maisha. Kwa mujibu wa ripoti ya UNAIDS ya mwaka 2024, jumla ya watu wanaoishi na VVU duniani ni takriban milioni 39. Uzinzi...
  10. Mbinu ya kuangusha noti bila mteja kujua

    Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
  11. Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

    Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya, Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba...
  12. PreGE2025 ACT Wazalendo: Tunazijua Mbinu za CCM, Tutawakabili Watakavyokuja

    TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na...
  13. Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  14. M

    Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
  15. Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  16. Kimedani: Vijana wasomi badilisheni Mbinu za kivita. Upepo wa mashambulizi umebadilika

    KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Upo kwenye Vita. Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde; 1. Nguvu kazi(jeshi) Jeshi ni wewe Mwenyewe! 2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita. Hapa...
  17. M

    Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

    Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile? Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi? Hakuna hata kirabsha kidogo ?
  18. Simba waanza mbinu ya kuikwepa Yanga fainal za CRDB, mbinu yao ya kwanza itaanza kwenye mchezo wao na singida

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida Yenu macho LONDON BOY
  19. Hii ndiyo Mbinu ya Simba kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa leo

    Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa. Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale...
  20. Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…