mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Simba tatizo ni mbinu na kutokuwaheshimu Raja

    Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike namna ya kucheza na wapinzani. Katika palikufa kabisa kwa sbb saido ilibdi awe anakuja kukaba chini...
  2. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kujitambua

    Kwa kifupi naweza kusema kujitambua ni hali ya kuwa na ufahamu wa nini kuhusu wewe.Hali yako,umuhimu wako,malengo yako,hatima yako, changamoto zako, nk, hayo yote yanakuwa wazi kwako kwa kujitambua. Dhana ya kujitambua kwa zama za sasa imekuwa kama kengele ya kanisa au azana ya msikiti, kwa...
  3. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ya kuwaacha mademu wangu wote nitumie mbinu gani nibakize mmoja tu?

    Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
  4. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

    Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k Naomba kuuliza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho. Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  7. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuwakamata wapenzi wa jinsia moja Inayotumika Misri

    Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia programu za uchumba na kijamii kufanya hivi, Ahmed Shihab-Eldin anaripoti. Majina ya waathiriwa wote...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, mechi ya Simba na Yanga imeanza "kuchezwa"? Je hii picha inasema mbinu za nje ya uwanja zimeanza kutumika?

    Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane. Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja vyumbani na baadae kurudi. Hii ikazua gumzo kubwa. Siku kadhaa baadae mchezaji wa Yanga anayevaa jezi...
  10. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Haikuwa kazi rahisi kumng'oa Dr. Eliona Kimaro Kijitonyama, tulitumia mbinu nyingi ziligonga mwamba

    Niseme tu, hakuna marefu yasiyo na ncha. Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kum demolish Kimaro tangu akiwa Usharika wa Kariakoo. Kwa miaka mingi tumefanya mbinu na njama mbalimbali kumuondoa lakini hazikuwq na matokeo tuliyo yatarajia. Hivyo tukajaribu mbinu nyingine na nyingine tena...
  11. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Mbinu niliyotumia kumrudisha mchepuko

    Mambo vipi wakuu, Twende kwenye mada direct, wiki chache zilizopita mchepuko wangu, nilimchana ukweli Kwamba Mimi Nina mke, isipokua toka niludi kutoka nchi jirani simuelewi kabisa ajanipokea kwa furaha (Ntaleta kisa cha wife) Na siku niliorudi uyu mchepuko alinifata stendi na kuniambia...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kuweza kujidhibiti na uraibu wa soda

    Watu wengi sana wanapambana na uraibu wa sigara, pombe na madawa ya kulevya. Lakini wakishaushinda uraibu huo hujikuta wameangukia kwenye uraibu mwingine hatari lakini usio ongelewa. Uraibu huo sio mwingine ila unywaji wa soda, hasa mazingira yenye joto kama mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga...
  13. F

    JamiiForums Tanzania MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

    Haji manara albinoz mjanjaz Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau. Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine. Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  15. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda sio kocha mzuri kwenye mbinu hivyo ni sahihi Simba kuleta kocha mwingine

    Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
  17. emboaba

    JamiiForums Tanzania Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Wadau uzi huu nauleta kwenu.. Nataka niachane nae huyu mwanamke nilonae nilitoa posa tu ya elf 50, mahari sijatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania magetoni. Akakaa miezi miwili watu wakanitsha ikabidi nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatika kupata mtoto mmoja ila...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  19. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kusafisha sufuria lililoungua sana wakati wa kupika?

    Habari wana jukwaa hili Wakati mwingine mtu unapika chakula inatokea bahati mbaya kinangua sana hadi chombo kinakuwa cheusi( kwa sisi wenye masufuria ya kaida). Au nje ya sufuria ukipikia mkaa inakuwa nyeusi, kusafisha kirahisi ili iwe rahisi kufaya sufuria zetu ziwe na mng'ao wa awali. Wakati...
Back
Top Bottom