Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni
Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu
Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema,
“Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano.
Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu.
Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au tutapewa miili mipya?
Hivi mtaa wa jehanam nao upo mbinguni ama jehanam tunakutana nayo wapi? Na...
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?
Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake?
Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k
Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.
Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:
Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
Unaweza sema ni kimavi au nukusi?
Yaani yeye na genge lake wote wamekataliwa na Watanzania ni aibu kweli!
Ilikuwa page ya yanga leo huyo chawa wa Samia baada ya kupositiwa.
Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika amesaidia maisha ya watu wengi.
Trump alisema hayo akijibu swali la mwandishi wa habari aliyemuuliza...
Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano
Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu.
Nashauri swala la maandamano lifuteni
Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni.
Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk?
Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa.
Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.
Malaika wa...
Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.
Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.
Mimi...
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.