Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa, hana majibu mazuri.
Fedha za Basket Fund tunazikusanya na tunapata, lakini hakuna malipo...