mbeya

  1. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mbeya raha sana wakuu

    Niko uyole hapa napiga vyombo Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/= Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/= Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/= Boda bei ni buku tu. Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya: Maji tunayozalisha ni 58% ya mahitaji yanayotakiwa kwa siku

    Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa. Kusoma hoja...
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Uongozi wa Mkoa wa Mbeya unaendelea kudhibiti Kipindupindu lakini Wakazi wa Isyesye hatuna Huduma ya Maji kwa wiki sasa, hii inarudisha nyuma juhudi

    Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka. Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya, Arusha, Mara ndio ngome za CHADEMA kama wamemkataa Mbowe, kama atashinda tafsiri yake ngome hizo zimeanguka. CHADEMA kwisha!

    Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA. Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mbeya aagiza kukamatwa kwa mkandarasi endapo atashindwa kusambaza kifusi katika barabara ya Mtaa wa Uzunguni A

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu. Homera...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha mzigo kutoka Mbeya & Kahama

    Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele Kwa anaejua gharama naomba msaada
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu 345 waugua ugonjwa wa kipindupindu jijini Mbeya

    Odas Aron ni mratibu wa elimu ya Afya jijini Mbeya anasema Mpaka kufikia sasa watu 345 wameugua ugonjwa huo katika halmashauri ya jiji la Mbeya huku wakiendelea kupata matibabu kwenye kambi maalumu zilizotengwa.
  9. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Mbeya mjini

    Gari aina ya crown inauzwa mbeya mjini kwa maelezo yooote,,, Call this number 0756944830 Au 0629903097..
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkandarasi atimuliwa, "anajinasibu ana cheo kikubwa kamati ya CCM mkoa"

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameelekeza uongozi wa jiji la Mbeya, kusitisha mkataba wa mkandarasi anayejenga vyumba vitatu vya madarasa na vyoo, katika shule ya msingi mafanikio kata ya Itezi jijini Mbeya kwa kushindwa kukamilisha madarasa hayo kwa wakati. Madarasa hayo yanayojengwa...
  11. lord commander

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mkoa wenye Madubwasha Makubwa kama Mbeya na Mtwara?

    Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa. Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
  13. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wazazi tutoe elimu ya chakula kwa Watoto wetu kuanzia nyumbani ili iwe tahadhari ya kujilinda na Kipindipindu

    Habari ndugu zangu, Wana jukwaa wenzangu hasa tunaoishi ndani ya Jiji chafu kuliko yote nchini, Jiji la Mbeya Naomba leo niwape angalizo kidogo hasa sisi wenye Watoto ambao ni Wanafunzi, tujaribu kuwapa Elimu ya usafi na kujiepusha kula kula hovyo huko mashuleni. Hali ya Kipindupindu ndani ya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  16. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo kidogo cha magari Simike - jijini Mbeya kinahatarisha usalama wa abiria

    📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi. Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
Back
Top Bottom