mbeya

  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Dk Tulia aongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU akiwa Mbeya

    Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani. Leo kilichonifurahisha zaidi ameongoza kikao na viongozi wa dunia akiwa Mbeya kwenye mawimbi na upepo na ubaridi mzuri...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

    WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madereva daladala jiji la mbeya wamtaka Dkt. Tulia kugombea tena ubunge 2025

    Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea tena Ubunge katika jimbo hilo kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi chake cha uongozi...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

    Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela. Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza. Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbeya mjini Tulia Akson agawa Bima za Afya kwa Wananchi 9000

    Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa kaya 1500 sawa na wazee 9000 wa Jiji la Mbeya, Dr Tulia amewataka wenyeviti wa mitaa ya Halmashauri ya...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ametoa zaidi ya TSh. Milioni 26 kwa Wahanga wa ajali Mbeya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6 kwa majeruhi sita wanaoendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya. Salamu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Furaha Simchimba na Wengine Wawili Wafariki Katika Ajali Mbeya

    Watu watatu wamefariki dunia akiwamo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya, Furaha Simchimba katika ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi la Kampuni ya CRN na gari la Serikali. Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Februari 25, 2025 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ambapo...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  11. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

    unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini. Dkt. Mpango ni mgeni rasmi katika kuhitimisha mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma...
  13. B

    JamiiForums Tanzania RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!

    Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA Mbeya: Tunamtaka Amani Manengelo aliyotoweka arudishwe akiwa mzima, tusije tukavuka mstari ambao hatutaki kuuvuka

    "Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitoe wito kwamba maisha na uhai wa mtu mmoja unafaa kuwa na thamani kubw...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kampuni au taasisi za kwenda kufanya field mkoa wa Mbeya

    Habari, Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe NEC Mbeya, Mwaselela aahidi kuchangia zaidi ya TSh. milioni 30 za ukarabati wa ofisi 32 za Kata

    Hii ni moja ya kauli za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wa Mkoa wa Mbeya, Ndugu Ndele Jailos Mwaselela, alipotekeleza ahadi yake ya kuchangia ukarabati wa ofisi 32 za chama hicho katika Wilaya ya Mbeya Vijijini leo, Februari 15, 2025. Katika hatua hiyo, M-NEC...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chongolo awaambia Wakazi wa Mbozi "Msitumikishe Watoto kwa kazi za shamba, wapelekeni Shule"

    Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira. RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane - Mbeya ina mashimo, mamlaka zisisubiri mgomo

    Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo vya Moto au wanaotembea kwa Miguu. Tunachojiuliza ni kuwa Mamlaka husika zinasubiri migomo ya wenye...
Back
Top Bottom