Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?
Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
Kupata matukio na taarifa...
Nyumba yenye vyombo.ndani/ full furnished house for rent at Mbeya inapangishwa Mbeya mjini Tshs.1.5m kwa mwezi. Ni nyumba nzuri ya kusasa. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeys mjini. Kiwanja kina ukubwa wq sq 3000. Bei ni maelewano ya kati ya mnunuzi na muuzaji. Wasiliana nasi. +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
Kiwanja kina ukubwa wa sq 1500. Ni eneo zuri kwa uwekezaji, appartment,kuishi,ofisi nk. Bei. Tshs. 600m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.
Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na...
Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo.
Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara.
Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya.
"Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
Angalia ramani, hicho kidogo cha rangi ya kijani katikati ndiyo Mbeya Mjini. Na hiyo yellow ni ndiyo Mbeya Vijijini
Halafu Tume Huru ya Uchaguzi imefanya yafuatayo:-
Yote haya ni KUMRIDHISHA Betina aendelee kuwa Mbunge na kisha Spika wa Bunge la JMT.
ANGALIA. MLINGANISHO:-
1) Mbeya Mjini:-...
Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa
Wamekuwa...
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.