Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi...
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa.
Mbali...
Anonymous (f836)
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
huduma
huduma nzuri
kitengo
mapokezi
mbeya
mtumishi
nzuri
rufaa
sana
simu
wagonjwa
Hivi Viongozi Wa Serikali Mmeiona Barabara Ya Mbeya Kwenda Chunya? au wenzetu Kuna njia nyingine mnaitumia na siyo hii tunayopita sisi wananchi.
Barabara Ina Mashimo Utadhani Mahandaki Magari Yanaharibika Kila Kukicha Kutokana Na Ubovu Wa Barabara.
Tanroad Mbeya Mmejikausha Kama Vile Hamuoni...
Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya.
Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu.
Wahusika wanaangalia tu hela wanazowatoza watu kutumia lakini katika sula la usafi ni 0%.
Habarini,
Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au?
Ahsante
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
Kamata kamata ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuwasweka ndani, inaendelea kushika kasi mkoani Mbeya baada ya Katibu wa chama hicho Wilaya ya Rungwe, Award Karonga kukamatwa kwa tuhuma za uchochezi.
Taarifa iliyotolewa leo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Award Karonga, ambaye ni kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za uchochezi na makosa mengine ya kijinai.
Award Karonga, ambaye ni mkazi wa Katumba, anashikilia nyadhifa za Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe...
Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri.
Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
Anonymous
Thread
darasa
kuandika
kusoma
kusoma na kuandika
kwanza
mbeya
shule
vizuri
wanafunzi
Habari ndugu zangu!
Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya.
Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata na kumshikilia Bi. Getruda Japhet Lengesela, Mkazi wa Nsalala- Mbalizi na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Taarifa kwa Vyombo vya habari iliyotolewa leo Ijumaa Januari 23, 2026 na...
Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye ujasiri"
JamiiCheck vipi kuna ukweli hapa?
Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali.
Watuhumiwa walikamatwa Januari 16, 2026 saa 10 jioni katika Kijiji cha Kasumulu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi
Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko.
Hatua hiyo imetajwa ni kutekeleza maagizo ya Serikali katika kusimamia sera ya afya kwa vitendo kwa lengo la...
Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope!
Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.