Niaje waungwana
Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.
Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka...