mbegu

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kwa kushirikana na Sekta Binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68

    Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu wa 2023/2024. Makadirio ya mahitaji ya mbegu hizo nchini kwa msimu wa 2024/2025 ni tani 80,000...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli matunda yote yasiyo na mbegu ndani yametengenezwa na mwanadamu kwenye maabara?

    Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao maembe nk yasio na mbegu ndani Ukiuliza wanakwambia ni aina ya hayo matunda lakini kiuhalisia ni...
  4. JamiiForums Tanzania Hii mbegu ya bamia inafaa Kwa soko la dar?

    Nataka kupanda hii mbegu Vipi sokoni inafanya vizuri? Au Kuna species nyingine Haswa Kwa soko la dar
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi Watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo(ASA) walalamika kuwa hawalipwi posho

    "AGRICULTURAL SEED AGENCY" Hii taasisi imekuwa na ukiritimba sana kuhusu posho za wafanyakazi, Baadhi ya wafanyakazi huwa wanajigharamia wenyewe kwa safari zinazohusu taasisi wakijua kuwa baada ya kumaliza kazi wataandika Madokezo na Kisha kulipwa pesa zao ila hali imekuwa ni chungu sana Kwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Shukrani ni mbegu ya furaha

    SHUKRANI NI MBEGU YA FURAHA Tunaishi kwenye dunia yenye wingi wa vitu vizuri ambapo kwa wingi huo hutufanya tuendelee kutamani zaidi na zaidi kitu ambacho ni rahisi kusahau vile tunavyomiliki tayari. Kwa kusahau huko hutufanya tuwe wengi wa watu wenye furaha fake,furaha ya mdomoni na sio...
  7. JamiiForums Tanzania Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀

    Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀 Wauzaji muwe mnasema kuwa tukimeza tusiende kazini
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mafuta ya mbegu za zabibu(Grapeseed oil)

    Wakuu, Sehemu gani naweza pata haya mafuta kwa ajiri ya kupaka Nimejaribu kuulizia kwa baadhi ya maduka ya vipodozi sijafanikiwa Asanteni
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta mbegu ya nguruwe nzuri (durec)

    Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro. Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
  11. JamiiForums Tanzania Waliochukua No za mbegu bora za nguruwe Siku ya nane nae mwanza ! Tusaidiane!!

    Wakuu Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu. Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no . So kama kuna mtu alichukua no zao hawa wauzaji aniandikie hapo binafsi nilichukua no za mbwa Ila nilichukua namba za...
  12. JamiiForums Tanzania Wakabidhiwa Mbegu za kiume za mtoto wao aliyefariki

    “Mtoto wetu wa kiume alifariki. Ila tutatumia mbegu zake kupata mjukuu” Wanandoa nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtoto wao aliyeaga dunia ili wapate mjukuu kupitia mwanamke atakayebeba ujauzito kwa mbegu hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za soya beans?

    Na shida ya mbegu hizi ,na gharama kwa kilo bei yake
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  15. JamiiForums Tanzania Kupandikiza mimba, je utaratibu wa mbegu za kiume upoje?

    Salaam: Sasa hii mada sijui niwekeje lakini, juzi kati nilikuta kipindi ndio kinaishia niliwaona tu kina Gerald hando na wengine wanatuonyesha chumba cha kuvunia mbegu za kiume, kwa uchache niliona kama chumba kimoja safi, self contained,TV kama inch 48" pamoja na vitu vingine. NB:Sikuona...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  17. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

    Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali". Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ushamba wangu utanifanya nisiache mbegu hapa US

    Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate...
  19. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

    Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada. Uzi tayari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…