mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uzi wa iphone cases/covers za aina mbalimbali

    Tunauza covers za iphone mbalimbali kuazia iphone 11 na kuendelea. Tupo kariakoo mtaa wa msimbazi Horizon tower.
  2. Matukio mbalimbali katika videos

    Ni matukio yanayotokea around the clock 24/7 Ya kufurahisha Ya kuhuzunisha Ya kutatanisha Ya kukatisha tamaa Ya kuumiza Ya kushangaza nk
  3. U

    Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  4. Aina mbalimbali za nuksi na visababishi vyake

    ZIFAHAMU AINA ZA NUKSI NA MATIBABU YAKE Mtu akisema kama ana Nuksi maana yake ni kwamba mtu huyu kila jambo lake alitakalo haliwi au kila anachotaka kukifanya hakienda kama vile anavyotarajia au kupanga. Hata kama watu watakaa wakapanga mpango au biashara wa kwenda kupata pesa, Halafu kwenye...
  5. Zijue njia mbalimbali za kuzikwa wafu.

    Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika: 1. Kuzikwa ardhini (kaburini) Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa...
  6. Meli za misaada kutoka maeneo mbalimbali za flotilla zinaanza safari Barcelona kuelekea Gaza.

    Wanaukumbi. Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema. Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
  7. Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  8. Natafuta wauzaji wa jezi za timu mbalimbali

    Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
  9. App Ya Mapishi na Vyakula mbalimbali

    Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na kujifunza mapishi mbali mbali. Kila recipe inakuja na maelezo ya kina: jinsi ya kuandaa, viambata, muda wa...
  10. Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  11. Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
  12. Aina mbalimbali za mapaa ya nyumba

    Hizi ni aina mbalimbali za mapaa/miezeko ya nyumba, je ipi ni chaguo lako pendwa? mimi nimependa butterfly:)
  13. Picha: Maeneo mbalimbali ya Tanzania

    Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji. Naanza 1. ARUSHA Hapo ndio Chuga 2. MWANZA Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa 3. MBEYA Jiji zuri la nyanda za juu...
  14. Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  15. Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  16. GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  17. Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  18. War zone: Chambuzi mbalimbali za silaha na vifaa vita

    Tuzichambue hizi ndege mashuhuli na maalum kwa kazi maalum katika uwanja wa vita. Nazileta kwenu BOMBERS: Tu-160M & B-2 Spirit. ~( Bila ushabiki wala upendeleo wa upande wowote) lets beginning. KATEGORI Tu-160M B-2 Spirit KASI mach 2+ (over supersonic) mach 0.9 ( subsupersonic)...
  19. Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…