mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  2. Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Narendra Modi - Tea seller ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Volodymyr Zelensky - Comedian ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ Edi Rama - Painter ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Tony Abbott - Trainee Priest ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ Boiko Borisov - Bodyguard ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Justin Trudeau - Bouncer ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Stephen Harper - Mailroom Assitant ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Ivo Josipovic - Music Composer ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Nicolas Sarkozy - Cleaner ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡น Jimmy Morales -...
  3. Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
  4. Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  5. S

    Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

    Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa...
  6. Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
  7. J

    Faida na hasara ya kutumia jina moja kwenye biashara mbalimbali

    Habari wana JF.. Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja Mfano 1 JUNDOX FURNITURE'S 2 JUNDOX BARBERSHOP 3 JUNDOX STATIONERY 4 JUNDOX DIGITAL 5 JUNDOX STUDIO Naomba msada kwa wanaofahamu hasara/faida za kibiashara...
  8. Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  9. Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  10. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  11. Zijue mashine na mitambo mbalimbali inayotumika bandarini kupakia na kupakua mizigo na shehena mbalimbali

    Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
  12. Chimbo la Design mbalimbali za Masofa mazuri sana ya kuvutia

    Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia. Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi wako akakutengenezea.
  13. Ukiwa na Uelewa na Ufahamu mpana na wa kutosha wa masuala mbalimbali, ukinyimwa, kukataliwa au kusubirishwa ulichoomba hutojiskia vibaya

    Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
  14. Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

    Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa. Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
  15. Sungusia Rais TLS, Kulishitaki Gazeti la Mwanahalisi. Awataka Wanachama wa TLS kushiriki mijadala ya maamuzi, wasiishie kulalamika mitandaoni

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika - y yThe Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Harold Sungusia tarehe 19 Januari 2024 ametoa ufafanuzi, ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake ikiwemo tuhuma zinazungumzwa dhidi yake. Sungusia ambaye anashika Madaraka ya Urais tangu...
  16. Mafuriko Thread: Picha za mafuriko sehemu mbalimbali ulimwenguni

    Huu ni uzi maalumu kwaajili ya kupost picha za mafuriko sehemu ulipo. TUPIA PICHA ZINAZOONYESHA MAFURIKO YA MVUA SEHEMU MBALIMBALI ULIMWENGUNI.
  17. B

    Jifunze jinsi ya kukunja nguo mbalimbali

    Watanashati mpo? Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo. Jinsi ya kukunja shati Jinsi ya kukunja tisheti...
  18. I

    UAE yashutumu mashambulizi yanayofanywa na wanamgambo wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.

    Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham. Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
  19. Kumbukumbu mbalimbali za soka World Wide

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ