mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

    Anaandika Ezekiel Kamwaga: Tuwe makini Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

    Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Aisee video ya demu wangu Remix ya Meja na Marioo ni moto wa kuotea mbali

    Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama. Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mchumba anataka nini ,mchumba anataka helaaaa " Natabiria...
  4. JamiiForums Tanzania Uingereza na Ujerumani waifukuzia mbali ndege ya Urusi iliyojaribu kupaa Estonia, kataifa ndani ya NATO

    Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali.... ======================== UK and German military aircraft have...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam

    Habari za leo wakuu Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar. Hivyo haimlazimu mtu kusafiri kutoka mikoa ya mbali kuja Dar kufunga mzigo, ambapo utakuta faida...
  6. JamiiForums Tanzania Malawi na Msumbiji si mbali na Tanzania 'Kijiografia' je, tumeshajiandaa kama 'Fred' akijipenyeza au 'tunambwelambwela' tu?

    Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
  7. JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

    It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Tusiende mbali, Rais Samia amefunika!

    Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia. Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu. Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa: Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ewe Dereva hasa mgeni wa safari ndefu, ukikuta kuna mtoto ama mtu katikati ya barabara eneo ambalo ni porini usithubutu kupita pembeni

    Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa. Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara paap! kuna kitoto ama mzee yupo katikati ya barabara, tena yupo katikati sehemu ambayo akilini kmwako...
  11. JamiiForums Tanzania Angalizo: Simba ili iendelee kaeni mbali na viongozi wa CCM

    Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia ya Yanga katika siasa za nchi hii. Sitaingia sana huko ila uthibitisho upo na ni mkubwa kuwa mpaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mipira ya mbali

    Wasalaam, Ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia hizo. Mipira ya mbali huchezwa na wajasiriamali wachache sana hapa duniani. Kwetu hapa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu masikini kifedha

    Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza. Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimwangalia kwa Mbali hivi unaweza sema ni Mnafiki...

    Mtanzania ni mtu ambaye kwa kweli ni ngumu sana kujua anataka nini. Watanzania wengi kama si wote. Ashamum si matusi. Wamejawa na Unafiq wa SGR. Kama ni barabara basi kiwango cha Lami. Tena Lami ya miaka yetu ile inatengenezwa na Kajima au Konoike. Mtanzania unaweza ukamwona kwa mbali...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye kuhudumia harusi tupeane mbinu kwenye masoko mapya

    Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo, washereheshaji, muziki, tarumbeta, nguo, picha, chakula na vinywaji, saloon n. k Naomba kuuliza...
  16. JamiiForums Tanzania Musonda weka mbali na watoto

    Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki! Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor...
  17. JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  19. S

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Enyi wastaafu kaeni mbali kabisa na ‘motivation speaker’, mtanikumbuka

    Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi. Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…