Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,877
5,446
Wakuu, long live to you all.

Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.

Screenshot_20240416-173328_Quora.jpg

Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa.

Drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.

nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
 
Akili ndogo haiwezi elewa alichofanya ilani, pale ameonesha tu kuwa hatishwi ndio maana alitangaza atarusha saa ngapi na yatatumia muda gani kufika, na kama uliona kuna baadhi ya nchi yalipita mpaka watu wakarekodi clips.

Wangetaka kuwashambulia walete madhara wangewaambush kama walivyolipuliwa wao ubalozini.

Lakini walifanya kutangaza kuna kitu walitaka waone na wameona, next time ukisikia wameshambulia ndio utajua kama vita ni vita mura.
 
Wakuu, long live to you all.

Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.

View attachment 2965523

Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa. drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.

nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
Marekani na ulaya wanachofanya mideast ni divide and rule
 
Attachments

  • Screenshot_20240416-175139_Chrome.jpg
    Screenshot_20240416-175139_Chrome.jpg
    451.2 KB · Views: 2
Akili ndogo haiwezi elewa alichofanya ilani, pale ameonesha tu kuwa hatishwi ndio maana alitangaza atarusha saa ngapi na yatatumia muda gani kufika, na kama uliona kuna baadhi ya nchi yalipita mpaka watu wakarekodi clips.

Wangetaka kuwashambulia walete madhara wangewaambush kama walivyolipuliwa wao ubalozini.

Lakini walifanya kutangaza kuna kitu walitaka waone na wameona, next time ukisikia wameshambulia ndio utajua kama vita ni vita mura.
Uwezo unaodhani Iran wanao,hawana.Wangeuonesha.Walivurumisha mafataki.
 
Israel sio mjinga, anajua Irani kuna nyuklia ndio maana ameanza kupambana kuwekwa vikwazo kwa Iran. Unadhani kama Iran angetuma kombora za nyuklia kuzizuia kungewasaidia nini Israel? Hata leo Tanzania mkianza project ya nyuklia walio nazo watapambana kuwapinga maana wanajua hawataweza tena kuwapelekesha.
 
Wakuu, long live to you all.

Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.

View attachment 2965523

Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa.

Drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.

nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
Iran imefanya mashambulizi kibao katika kambi za Wanajeshi wa Marekani, kituo cha Mosad pale Iraq, US base pale Jordan na yote yalileta madhara ya kutisha. Hii ya juzi ni kama waliamua kuonyesha wanaweza kurusha drones kutoka Tehran hadi Tel Aviv.
 
Hata mashambuzi mazito yanayofanywa na Hezbollah na Houthis, kuna mkono wa Iran. HEZBOLLAH walimpiga Muisrael hadi akaomba cease fire mwenyewe. Houthis ameshindikana. Nguvu za Iran siyo za kudharau hata kidogo. Ya juzi alimfanyia tu mchezo wa kitoto. Na amini kuna siku watafanya ambush ya kuumiza kama ile ya MOSAD Iraq na ile ya US-Jordan.
 
Wakuu, long live to you all.

Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake.

View attachment 2965523

Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto kando ya uwanja wa ndege. Huku mawili yakianguka nchini Iraq (kabla hata ya kufika Israel) na kuua waarabu wenzao 2 mengine yooote yanatunguliwa.

Drone 300 na zote zimetunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel. Hili ndio shambulio walikua wanatangaza "litaushangaza ulimwengu" na kweli tumeshangaa.

nchini Iran kebehi na dhihaka za raia kwa mamlaka za serikali na jeshi zimezidi mpaka Iran imetishia kuwafunga wote watakao kamatwa wakikebe jeshi la nchi hiyo.
Soma vizuri theories za vita. Kwenye vita yyte majeruhi wa kwanza ni UKWELI. Tafuta ukweli member mwenzangu
 
Uwezo unaodhani Iran wanao,hawana.Wangeuonesha.Walivurumisha mafataki.
Ndivyo unavyojidanganya??
Kama Iran angetaka kushambulia angetumia Hypersonic missiles zenye ujazo mia tu.
Ila mpaka anatuma kamikaze drone zinazotembea kwa mwendo taratibu hakutaka further escalation.
Iran unayemdharau eti hana nguvu watu wanayodhania ndiye aliyeipa nguvu Houthi ikasimama dhidi ya Saudi Arabia iliyokua ikisaidiwa na USA kwa miaka 14.
Next time muongee facts.
 
Acha kuamini propaganda za wazayuni wewe

Kama Irani walirusha missiles 350, kisha 9 zikapenya hebu fanya mahesabu mwenyewe ujue ni asilimia ngapi zimepenya

9/350 x 100 = 2.5%

sasa kama 2.5% zimepenya iweje wazayuni wawe wamefanikiwa kuzuia 99%?

Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako!
 
Iran imefanya mashambulizi kibao katika kambi za Wanajeshi wa Marekani, kituo cha Mosad pale Iraq, US base pale Jordan na yote yalileta madhara ya kutisha. Hii ya juzi ni kama waliamua kuonyesha wanaweza kurusha drones kutoka Tehran hadi Tel Aviv.
kuonyesha wanameza kurusha drones toka Teheran mpaka wapi mkuu ?! Hakuna drone imefika Tel Aviv vyote vimetunguliwa mapema sana.
 
Iran sio Waarabu naona darasa la tatu C wanachanganya wale Wakushi/Waajemi hata kwenye vitabu vyenu wapo ni watu wabishi na watata kuliko jamii nyingi sana mwanzo walikua vibaraka wa USA walipopigana vita na Iraq USA alikua upande wa Iran ila baadae walipotofautiana Sera zao ndio maana mnaona wapo tofauti maana USA hana adui wa kudumu anaangalia maslahi kwanza...
 
Back
Top Bottom