mazuri

Maji Mazuri is a small town in Kenya's Baringo County along the Makutano-Ravine-Kampi Ya Moto highway. This is the most southerly tip of the greater Baringo area. It neighbors Kericho's Londiani and Nakuru's Kamara areas. The settlement was formed by migrants who used to work in the Koibatek Forest, but were either retrenched or retired at one time. As such, Maji Mazuri is home to people from different ethnic groups of Kenya. The Agikuyu and Tugen people are the majority population in the larger Maji Mazuri location of Eldama Ravine division.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

    Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha. Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mechi za CHAN zimekosa hamasa na mahudhurio mazuri viwanjani Tanzania?

    Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya! Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso)...
  3. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  5. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

    Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri. Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo kushuka chini, lakini kikubwa kikubwa kikubwa ni Makalio makubwa yaani Mizigo. Ni ukweli usiokwepeka...
  6. JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini dhambi hizi zimepewa majina mazuri?

    Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...
  8. JamiiForums Tanzania Tupike maandazi mazuri ya maziwa

    Hell Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik, barking powerd na irick Nilianza na kuchekecha unga wa ngano na kuweka sukari pamoja na sodabik na...
  9. JamiiForums Tanzania Tumeahirisha derby mara tatu mnashangaa nini vingine kuhairishwa. Tulieni mambo mazuri hayataki haraka

    Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU mtuondolee Yale mapost YENU yanakera Cha Cha KAZI iendeleeee
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni huyu polepole ana maisha mazuri tayari. Asituharibie watu wa chiini. Hata familia yake inaishi bahari beach kwa wakubwa

    Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote. Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu. Mfano...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  12. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania bhana... kwahiyo Picha za Child Benz kunenepa ndiyo ameshabadilika na kuwa na Maisha mazuri?

    Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
  14. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SSH, Kiongozi anayetenda mazuri asubuhi ikifika jioni anavuruga kazi yake mwenyewe

    Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Najua ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~ Hayati Magufuli

    Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii. Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!! Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimekoma mimi, katu, katu, katu usitangaze matarajio yako mazuri

    Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi, Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Matunda Mazuri ya Uvuvi wa Vizimba Yaanza Kuonekana Musoma Vijijini

    MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi inayoajiri watu wengi wa Jimboni mwetu. Wataalamu wa uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakiwemo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mashuka Mazuri

    Nauza mashuka size 7/7 ya Pamba Sifa zake 1.Shuka Mbili 2.Foronya Mbili 3. Tsh 25,000 nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kama upo Mkoani natuma au kama una ndugu/jamaa naweza kumpelekea. Namba yangu 0657438581 ipo pia WhatsApp. Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…