mazuri

Maji Mazuri is a small town in Kenya's Baringo County along the Makutano-Ravine-Kampi Ya Moto highway. This is the most southerly tip of the greater Baringo area. It neighbors Kericho's Londiani and Nakuru's Kamara areas. The settlement was formed by migrants who used to work in the Koibatek Forest, but were either retrenched or retired at one time. As such, Maji Mazuri is home to people from different ethnic groups of Kenya. The Agikuyu and Tugen people are the majority population in the larger Maji Mazuri location of Eldama Ravine division.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nimekoma mimi, katu, katu, katu usitangaze matarajio yako mazuri

    Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi, Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Matunda Mazuri ya Uvuvi wa Vizimba Yaanza Kuonekana Musoma Vijijini

    MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi inayoajiri watu wengi wa Jimboni mwetu. Wataalamu wa uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakiwemo wa...
  3. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Mashuka Mazuri

    Nauza mashuka size 7/7 ya Pamba Sifa zake 1.Shuka Mbili 2.Foronya Mbili 3. Tsh 25,000 nakuletea mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar. Kama upo Mkoani natuma au kama una ndugu/jamaa naweza kumpelekea. Namba yangu 0657438581 ipo pia WhatsApp. Karibuni
  4. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Kwa Sababu ya Matokeo Mazuri Nchi Inayopata kila Kitu kipewe Jina Lake

    Kutokana na matokeo Mazuri Nchi iliyopata , ni vizuri kila kitu cha nchi hii Kipewe Jina lake kabla ya maneno Mengine Mbele yake. Mfano Yahaya Tanzanite, Yahaya Gold, Yahaya Katiba, Yahaya Ali Hassan Mwinyi Road, Yahaya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  8. Donatila

    JamiiForums Tanzania Maombi ya shukurani na kujitabiria mazuri yanavyojibiwa haraka

    Habari wakuu, Bwana YESU atukuzwe na ufalme wake uje na mapenzi yake yatimizwe... Leo naomba niwape Siri iliyopo kwenye maombi ya Kushukuru na kujitabiria... Tumezoea Kushukuru kwa sadaka zaidi ila Leo naomba tujifunze maombi ya Kushukuru na kujitabiria... Maombi ya Kushukuru na kujitabiria...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni mazuri kwa kuwa yanauzwa ghali au ni ghali kwa kuwa ni mazuri?

    Rolls Royce na Lamborghini! Sijawahi kuyaona kwa macho (live) sembuse kuyagusa, lakini yashafika Tanzania. Nimeyaona mtandaoni. Yapo Dar Es Salaam. Japo ni mtumba lakini bei yake si haba! Rolls Royce inauzwa Tsh 1,500,000,000/= na Lamborghini Tsh 1,450,000,000/=. Kama used ni ghali hivi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hatupati mahusiano mazuri sababu tunawakataa /hatuwataki wanaotupenda kweli!

    Moja kati ya kitu ambacho Nimejifunza kwenye stage ya ukuaji wangu 👉Wengi tuliwakataa waliotupenda kweli, tukaangukia kwa ambao na hawatutaki na wao kuna sehemu wamependa ✔️Unakuta mtu umemkataa sababu hana kazi nzuri ✔️Sio msomi ✔️Mwonekano wa kawaida usiovutia(hana sick pack, Hana taqo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chilonde chonde jamani. Plz CRB bank ondoeni maneno haya "kitu kimesimama". Haya siyo maneno mazuri.

    Huwa nashangazwa sana hasa nikideposit pesa kwa hawa mawakala wa crdb. Nikideposit tu napewa risit. Mwishoni mwa risiti imeandikwa eti "kitu kimesimama. Plz ondoeni haraka .
  13. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

    Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi. Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani?? Mashoga Majambazi...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Urembo wa maua mazuri

  16. G

    JamiiForums Tanzania Maana ya maisha mazuri

    Kwa wanaume ni;- 1. Kumiliko nyumba kali kuliko watu wa mtaani kwako. 2. Kuwa na mke mzuri kuliko wanaume wa mtaani kwako. 3. Kumiliki gari kali kuliko marafiki zako na watu wote wa mtaani kwako. Kwa mwanamke ni;- 1. Kuwa na mume anayekuhudumia kwa kila kitu na kukupa mitoko ya nchi za nje. 2...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana, Jenga ustaarabu na mahusiano mazuri na jamii.

    Salaam jamiiforum Mimi ni mtu mzima sasa, Baba wa familia,naweza kuwa sipo sawa Kwa mambo mengi,ila nimeruhusu kukosolewa na kuimarisha uhusiano na jamii kiujumla. Threads zangu nyingi zinamlenga kijana wa kiume,si kwamba nimemuacha mtoto wa kike,la hasha. Nimeanza na shina kwanza...
  18. Bmw m5

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye maumbo mazuri ni wetu.

    Ndugu zangu salaaaam.. Nimekua natamani sana kuoa mwanamke mzuri kuanzia umbo kwa maana ya muonekano wa nje. Ila mara kadhaa kumekua na baadhi ya watu wakisema kuoa pisi kali ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule tena ya msingi🤣🤔. Hivyo kupelekea watu wenye nia ama ndoto ya kumiliki...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo

    Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki. Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
  20. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
Back
Top Bottom