mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  2. JEJUTz

    JamiiForums Tanzania Anza siku yako kwa mazoezi na unishukuru baadaye

    Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym. Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote anaweza fanya kulingana na mazingira aliyopo. Fanya hivi: tengeneza ratiba ya kuamka mapema kidogo...
  3. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  4. Mributz

    JamiiForums Tanzania LAMECK LAWI AANZA MAZOEZI NA TIMU YAKE

    Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu. Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden. #matukiolive...
  5. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  6. Azarel

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakivaa nguo za Mazoezi (Yoga Pants) wanavutia sana

    Kubali au Ukatae...iko hivyo Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna kitu...wanajikuta tu 😂 Povu za weekend ndio tunataka...karibu
  7. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ole Lengai Sabaya kama unanisikiliza, anza kufanya mazoezi, kuna wahuni wamemkanyaga Nyoka mkiani

    Mama alichukua nchi na alikubali kuwaudhi watu ndani ya chama na serikali pale aliporudisha mikutano ya hadhara, akaingiza falsafa zake za 4 R yaani Reconciliation, Rebuilding, Reform na Resilience. Alitaka watu waikosoe serikali lakini kwa staha, kwa mfano mimi nafurahishwa sana na ukosoaji wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Zaiylissa ninayemuona hapa katika Clip akifanya Mazoezi ndiyo huyu huyu Mke wa Haji Manara au?

    Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
  14. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Makamu wa Rais, Othman Massoud Othman ahimiza maadili ili kuvutia jamii kushiriki michezo, mazoezi

    ZANZIBAR. MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Massoud Othman amevitaka vikundi vya mazoezi nchini kuweka kanuni na miongozo ya maadili ambayo itasaidia kuondoa mitizamo hasi kwa jamii juu ya ushiriki wa makundi yote katika vikundi vya mazoezi na michezo. Ametoa wito huo wakati...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC ninasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wamechelewa kuanza Mazoezi ya Pre Season ila leo wamekipiga kwa Mkaburu, na tuliowatangulia Kutwa tunacheza Mechi Mazoezi tu huko wa Farao

    Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu...
  18. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Tuliitumia CECAFA kutambulisha wachezaji na kufanya mazoezi

    Salaam watu wa soka Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno. Tulisema mapema tunaenda kwenye mashindano haya kwa lengo la kujaribu wachezaji ikiwa ni mpango wa mwalimu. Ndio maana...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya mazoezi vinauzwa

    Plates 7.5 kg x 4 5kg x 4 2.5 kg x 4 Barbell 1.5 m Dumbbells bars x 2 Gharama 300k
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Back
Top Bottom