mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mstaafu wanatosha kutuwakilisha Mazishi ya Papa Francis

    Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

    Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada. Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani tumevifanya kuwa vya kawaida kwenye misiba na mazishi ambacho sio sawa?

    Hii mambo ya kupiga picha makaburi na kujirekodi tukiwa misibani naona haijakaa sawa. Siku hizi ni kama watu wanaenda kwenye fashion show sio kuzika tena
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mazishi ya Mwanafunzi Mhoja Maduhu yalivyokuwa, ni yule aliyefariki muda mfupi baada ya kuchapwa na mwalimu wake

    Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala. Pia soma ~ Simiyu: Mwanafunzi adaiwa kufariki kwa kuchapwa viboko na kukanyagwa kichwani na mwalimu shuleni
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na mkewe kwenye mazishi ya Indira Gandhi

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu wa India, siku ya tarehe 31 Oktoba, 1984. Siku ya mazishi ya kitaifa, viongozi wengi sana kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi ashiriki mazishi ya Dkt. Sam Nujoma

    Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo, Dkt. Sam Shafiishuna...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

    Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  12. L

    JamiiForums Tanzania DC Mstaafu Sabaya ashiriki mazishi Ya Esther Mahawe Mkoani Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe alikuwa anapumzishwa katika Nyumba yake ya Milele Mkoani Arusha. Ambapo katika Mazishi hayo viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania RC Daniel Chongolo ashiriki katika mazishi ya aliyekuwa DC wa Mbozi, Ester Mahawe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa Songwe, wamewasili Mkoani Arusha, tarehe 19 Januari 2025 kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu ngumu kama mazishi yanayowakutanisha mahasimu pamoja

    Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

    Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM. Kama ni mgonjwa naweza...
  16. JamiiForums Tanzania Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mazishi ya Dkt. Faustine Ndugulile Disemba 2

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Dkt...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mke azuia mazishi ya mume wake kufanyika.

    Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo. Leo taarifa inasema...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki mazishi ya mama wa Aboubakary Liongo

    Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu. Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…