Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa kauli nzito kuhusu hali ya siasa nchini Tanzania akiwa nchini Kenya, ambako alihudhuria mazishi ya Mwalimu Jackson Karua, baba wa kiongozi wa People's Liberation Party (PLP), Martha Karua, yaliyofanyika Gichugu, Kirinyaga.
Dkt. Nshala...