mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atangaza zabibu kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati

    WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma. Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika...
  2. JamiiForums Tanzania Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa nafaka za mahindi uliagizwa na mteja wetu wiki kadhaa zilizopita. Mzigo huu ulitokea nchini India na...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwa kulima mazao ya biashara

    Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwaazao ya biashara Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi wa kijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe,wameilalamikia serikali ya kijiji hicho kwa kuwatoza shilingi elfu 3 mpaka elfu 5 kutokana na kushindwa kulima mazao ya...
  6. JamiiForums Tanzania WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  8. JamiiForums Tanzania Shida ya Tanzania ni nini hasa? Na je tufanyeje

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali Singida yakamata malori yenye tani 40 za mazao yasiyolipiwa ushuru

    SERIKALI mkoani Singida imekamata malori matano yenye magunia ya mazao mchanganyiko zaidi ya tani 40 yaliyokuwa yakipitia mkoani hapa bila ya kuwa na nyaraka zozote za kulipia ushuru. Kufuatia kukamatwa kwa shehena hiyo Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili aliagiza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

    Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote...
  11. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa uzalishaji mazao kulingana na kanda za kilimo za kiikolojia juni 2017

    MUHTASARI Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani ya kanda hizo kuu saba, zipo Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza...
  12. JamiiForums Tanzania Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  13. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
  14. JamiiForums Tanzania Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

    Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na watu wa dini na race zote. Licha ya mabara mengi kuwa watumiaji wazuri wa mazao haya, Afrika ya...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa kusafirisha naye mazao ya nafaka

    Habar zenu jamani. Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo. Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Dalali wa Masoko ya mazao

    Habari wakubwa naomba msaada wa dalali au masoko ya mazao ya kilimo kama vile maharage na mahindi katika mkoa wa Dar es Salaam. Asante
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Mazao

    Habari wana jamvi!!! MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!! Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka husika!! Mfano mimi nasafirisha viazi ulaya kutoka mbeya kwenda mwanza kila Gunia natozwa 2000...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo yasema Serikali imeruhusu mazao ya kilimo kuuzwa nje ili kuwaimarisha Wakulima kiuchumi

    Serikali imeruhusu mazao ya chakula kuuzwa nje ya nchi ili kutoa fursa kwa Wakulima kunufaika na mazao mbalimbali wanayoyazalisha. Imesema kuwa itakuwa ikitoa vibali kwa wafanyabiashara wa mazao. Hayo alisemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, walipokuwa kwenye ziara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…