mayai

  1. Morning Joy Motors

    2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

    Mafanikio mengi ya Subaru yametokana na ujuzi wake wa kukidhi mahitaji ya vikundi maalum -- na vilivyojitolea sana -- vya wanunuzi wa magari. Miundo kama vile Outback kwa kawaida imekuwa ikilenga watu wanaotaka kitu cha kistaarabu cha kutosha kwa usafiri wa kawaida wa mijini, lakini ni iwe gari...
  2. RMK Freelancers Agency

    Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa nyama au mayai, njoo tukuongeze mauzo.

    Kama wewe ni chicken farmer unayefuga kuku wa mayai au nyama, au unafanya biashara ya kuuza mayai au kuku wa nyama kwa jumla, na unachangamoto ya mauzo au unataka kuongeza mauzo kwenye biashara yako. Ninaweza kukusaidia kupata buyers wa uhakika kama restaurants, hotels, supermarkets, catering...
  3. Keynez

    "Wanatoa maziwa na mayai, wanastahili kuwa jikoni" maneno ya Mdau

    Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu" Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa. Tujadili...
  4. Frank Mazagazaga

    VITU TISA - Ufugaji na utotoleshaji Mayai (Homemade incubators)

    VITU TISA Kutotolesha mayai si kuweka mayai kwenye boksi lenye taa joto, kama ambavyo Wengi wanajaribu kufanya na kusubiri siku 21: Tengeneza mfumo. Ni vitu tisa. Kwa sababu hapa, tunatengeneza mazingira yanayoleta uhai ndani ya mayai ya kuku, na uhai una tabaka, na kila tabaka hutaka...
  5. Frank Mazagazaga

    Ndani ya Incubator za home made (kienyeji) Kuna Siri Ambayo Huamua Mafanikio au Hasara

    Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana. Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
  6. M

    baruti zinazopigwa usiku huu wa mwaka mpya zingepigwa marufuku, zinaleta kumbukumbu mbaya za milio ya risasi ya 29 Oktoba 2025

    Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
  7. Selemani Sele

    Mayai ya kisasa yenye kiini cha rangi ya chungwa (orange)

    Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na halina Shombo hata Kidogo nawaza haya mayai ya nini au Tuhamie Kwenye Kienyeji,
  8. Mwachiluwi

    Tupike Chapati za mayai na supu ya samaki

    Hell Tupike chapati za mayai za kukanda Kwanza utaweka unga wako ulio chekechwa kwenye bakuri uta weka na blue band then chukua mayai yako yakologe pembeni kisha uweke pia the kanda kama huna blue band una weza weka mafuta ya kupikia ukipata ya alizet itakuwa poa sana Kanda pole pole mpaka...
  9. Greg50

    Pata mayai jumla - Arusha

    Nauza mayai organic Arusha. Bei jumla 8,500-11,000/= kwa tray. Ukihitaji piga simu 0763784190
  10. JamiiCheck

    KWELI Ulaji wa mayai ya nyoka yasiyopikwa vizuri unaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu

    Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu. "Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
  11. Brayan_Jk

    Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  12. Papillon 1906

    Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari

    Mayai ni chanzo cha lishe mwilini, lakini ulaji wa mayai kupitiliza ni hatari. Hivi karibuni mtu mmoja kutoka India amefariki dunia baada ya kujaribu kula mayai 50 kwenye mashindano ya kula mayai huko nchini India, alianguka na kupoteza fahamu baada ya kula mayai 42. Marafiki wawili waliweka...
  13. E

    Mayai ya Kware

    Habari wakuu! Poleni sana kwa majukumu! Ninaomba kuuliza ninawezaje kupata mayai ya Kware? Wapi yanauzwa? Nitashukuru
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  15. Dennis Robert Shughuru

    Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

    Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai CHIPS MAYAI INAJUMUISHA VIAZI AMBAVYO NI CARBOHYDRATES...
  16. B

    Insha ya kwanza: Ya Mungu mengi, ya kuku mayai

    Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai Utangulizi Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha baraka nyingi na kubwa, wakati viumbe kama kuku wana uwezo mdogo wa kutoa vitu vya...
  17. M

    Waandishi wa Habari muulizeni vizuri Ally Mayai Tembele na awajibu kwa usahihi nini kimemkuta wizara ya Habari hadi akaondolewa kwenye ukurugenzi

    Huyu bwana wakati wa Mchengerwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, wengi wakaona kwa sababu amecheza mpira basi ataimudu nafasi hiyo, lakini cha kushangaza muda sio mrefu tangu apewe cheo hicho kikubwa wizarani inaonekana ameondolewa, sasa kama...
  18. GENTAMYCINE

    Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
  19. DuaZaMama

    Ally Mayay amekosa endorsment (kuungwa mkono) asubiri Mamlaka ziamue

    Mdau wa soka Ally Mayai Tembele ambaye alichukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka Nchini (TFF) amesema hata yeye amekosa endorsment hivyo anasubiri mamlaka ziamue. "Nimekosa Endorsement, kwa sababu nilichukua fomu nilipaswa kuirejesha.Kwa sasa imekuwa ngumu.Zamani chama...
Back
Top Bottom