mayai

  1. Frank Mazagazaga

    SIO LAZIMA UWE NA MILIONI ILI UTOTOLESHE MAYAI – WAKATI MWINGINE UNAHITAJI TU KUONESHWA NJIA SAHIHI KAMA MIMI

    Wakuu wa JF, habari za kazi na maendeleo. Miaka ya nyuma nilikuwa naamini kutotolesha mayai ni kwa watu wenye incubator za bei mbaya – zile za laki mbili mpaka milioni. Nilikuwa natamani sana kufuga kuku kwa njia ya kisasa lakini nilikwama mara kwa mara kwa sababu ya bajeti. ○●○ Mpaka...
  2. kavulata

    Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

    Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi. Nawasilisa...
  3. Top Gun

    Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  4. Frank Mazagazaga

    Incubator za bei ghali ziliwa kikwazo, mpaka nilipopata kifaa W1219 na kutengeneza yangu mwenyewe ya kutotoleshea

    JINSI NILIVYOSETI JOTO NA KUOKOA MAYAI YA KUKU WANGU – W1219 ILIKUWA GAME CHANGER! Wakuu habari za kazi na maisha, Nimekuwa nikihangaika sana na control ya joto kwenye incubator yangu ya kutengeneza mwenyewe kwa Gharama nafuu kwa kutumia material yanayopatika katika mazingira ya nyumbani...
  5. Genius Man

    Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  6. Youbettersleep

    Biashara ya kuuza mayai bei ya jumla

    Habari wakuu! Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP" Trei 1 nauza 8,500 Napatikana Mbezi Luis Simu : 0744 767 175 whatsap pia
  7. U

    Chips mayai hazijaanzia Tanzania, ( Labda uwizi wa kura ) Hiki chakula tuliletewa na tulifundishwa

    Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu kabisa, na unaweza usiyaone nchi nyingine. Sisi watanzania tumekuwa tukijisifia sana kuhusu...
  8. Imani rubaba

    Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  9. Brayan_Jk

    Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  10. General Nguli

    Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  11. Madame B

    Tupike pamoja chapati za maji, zenye mayai, maziwa, nazi na hamira kidogo.

    Leo Jumapili niliamka nikiwa nina hamu sana ya kula chapati za maji. Ila leo nikasema kwa kuwa nina muda wa kukaa jikoni, ngoja leo nijikumbushe enzi zangu. Mahitaji na viambaupishi: -Unga wa ngano nusu -Mayai ya kuku 3 -Maziwa ya maji nusu kikombe -Tui la nazi kikombe kimoja -machicha ya nazi...
  12. Mtu_imara

    Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

    Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
  13. Imani rubaba

    Je, unafahamu kuwa ukiwa na kuku 100 wa mayai, unaweza kujipatia kati ya Tsh 300,000 hadi 720,000 kila mwezi?

    Hii ni fursa halisi kwa wale wanapenda ufugaji na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hata kama wanaishi mijini au wana eneo dogo. Kuku wa mayai mwenye lishe bora anaweza kutaga kila siku au karibu kila siku. Kwa bei ya sasa ya yai (300–400 TZS), unaweza kupata kipato kizuri, cha kila...
  14. HaMachiach

    NAHITAJI KUUZA MAYAI NAOMBA MWONGOZO.

    Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
  15. Mwachiluwi

    Leo tupike Catress za mayai

    Hellow Kwanza chemsha viazu visiive sanaa kisha viponde ponde na uweke karot,hoho,kitunguu ukiweza unaweza weka pili pili kama hivi Kisha chemsha mayai yako na yakiiva ya mwenye na uyakate kama hivi Kisha yaviringe kiasi cha yai kutoonekana kabisa kisha weka mafuta jikoni na mafuta...
  16. Imani rubaba

    Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  17. SubTopic

    Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  18. dimple

    Nina mayai ya kisasa tray 600

    Habari nauza mayai ya kisasa natoa kwa tray tsh.6000 size ya kati na 6500 makubwa.nipo dar es salam mbezi mwisho magoe. Namba ni 0739332033
  19. L

    Nauza mayai ya Kisasa

    Habari nauza mayai ya kisasa natoa kwa tray tsh.6000 size ya kati na 6500 makubwa.nipo dar es salam mbezi mwisho magoe. Namba ni 0739332033
  20. Mshana Jr

    Kwa wafugaji: ubunifu wa tray na vibebeo vya mayai

Back
Top Bottom