mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Yataka Ulinzi wa Daraja la Mawe Garkawe

    KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE OR-TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

    Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana. Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election. Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote. Naona Simu...
  3. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia mawe laini

    Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

    DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana.. Wassira kaja na hoja kwamba: Mkutano Mkuu can do anything. Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu - wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO." https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_ Swali Je...
  5. JamiiForums Tanzania Pinda aelekeza maafisa ardhi kurejesha mawe ya mpaka wa Monduli na Longido

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo. Naibu Waziri Pinda amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  7. JamiiForums Tanzania Kaita kampuni ya mipango miji kupandiwa mawe kaambiwa alipe 1,500,000/=

    Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili). Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ziwa Natron haligeuzi wanyama wanaokunywa au kuogelea maji yake kuwa Mawe bali huwakausha na kuhifadhi mizoga hiyo bila kuharibika

    Je, ni kweli Ziwa Natron linawageuza wanyama wanaokwenda kuogelea ndani yake kuwa mawe?
  9. JamiiForums Tanzania Bei ya mkaa wa mawe

    Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
  10. JamiiForums Tanzania Mnaosema Waisrael waliopo sio halisia na ni wazungu wenye macho ya bluu, sasa mlitegemea mlipowafukuza huko walipokimbilia wazaliane na mawe au?

    Leo hii Israel ina: 50% Middle Eastern Jews. Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa. Hatimae walirudi nyumbani baada ya kuzaliwa upya kwa taifa la Israel 1948 na pia wengine walirudi Israel...
  11. JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  12. JamiiForums Tanzania DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa maelekezo ya kusimamishwa kwa mchakato wa utafutaji madini kwa kulipua mawe kwa baruti eneo la King’azi A kusimamishwa kwa kuwa hana vibali na hivyo anahatarisha usalama wa mali na Watu. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Jamaa anapasua mawe kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Mawe ya amethyst, rose quartz, au citrine

    Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
  17. JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya Mawe Haya Kanda ya Ziwa Kutoanguka

  18. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  19. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…