JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,482
- 2,584
Mizani ya Mawe inauzwa Ipo Dar mbezi mwisho Bei 75k na mawe yake
kweli kabisa mkuu.Kama imepigwa mhuri hiyo ni bei rahisi sana ,kila la heri bwashee.
dalali mkuu fanya namna