mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wazindua Majukwaa Mapya ya Mawasiliano

    Huduma ya Polisi nchini imezindua mfumo mpya wa mawasiliano unaolenga kuimarisha namna inavyowasiliana na wananchi na kutoa taarifa rasmi kwa umma. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo imani ya wananchi kwa taasisi za usalama imekuwa sehemu muhimu ya mjadala wa kitaifa. Naibu Inspekta Jenerali wa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiang’i Aibua Kengele: Akaunti Kudukuliwa, Mawasiliano Kukatizwa na Viongozi Kufuatiliwa

    Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji. Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema kitengo cha mawasiliano ya umma kinapwaya sana

    Hivi inaingia akilini kwamba mwenyekiti wenu yupo mahakamani kwa kesi kubwa kuliko zote nchini na mnapuyanga tu kuujulisha umma maendeleo ya kesi? Nini sasa kipo serious kwenu? Mnajua hisia wanazopata wananchi na wanachama wenu kufuatilia mwenyekiti anavyojitetea mahakamani? Na mnajua...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  6. JamiiForums Tanzania Sauti Yako, Skrini Yako..!Je, Maandishi Ndio Mwisho wa Mawasiliano?

    Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi. Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake. NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

    Habarini wakuu, Niko hapa kuomba ushauri . Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  10. JamiiForums Tanzania KERO TCRA mpo kwa ajili kitu gani maana huduma za mawasiliano ni makanjanja kiutendaji

    Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile. Leo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji ekseli shaft ya Nissan civilian

    Nahitaji ekseli shaft ya Nissan civilian model RYW40 ya tundu sita meno 42 mawasiliano 0759399805
  13. JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

    Imenishangaza kuona mtu anaondoka kwao, gafla anakata mawasiliano. Inapita hata miaka bila wao kujua yuko wapi, anafanya Nini. Ujasiri wa namna hii sio wa kawaida. Ila pia inanifanya nifikiri kuhusu familia, malezi, tamaduni na utandawzi. Kweli zama zimebadilika.
  15. JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana ila kila mdada mwenye makebo makubwa lazima awe na besti yake huyo mwembamba ambae ni kama waziri wake wa ulinzi na mawasiliano

    Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh! Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kitima: Kijiji ninapotoka hakuna Mawasiliano nikienda ziara nipo gizani, nalazimika kulala mjini

    Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunataka nchi nzima kupata mawasiliano 100% Kufikia 2030

    Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
  18. JamiiForums Tanzania Moto wateketeza maduka kituo cha daladala Mawasiliano. Je, ni njama?

    Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo wamiliki wa mwanzo wataaambiwa wakae miezi 6 bure then wataanza kulipia. Hilo lipo wazi lile eneo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini minara ya mawasiliano juu ya ghorofa inakuwa mingi?

    Unakuta kwenye resident buildings pemben kuna hotel pemben kuna jengo lingine refu ila yote ya minara kibao ni ya kazi gani hiyo. Na je ni ma provider wa telecommunications ndo wanayoiweka au ni wamiliki wa jengo husika...kwa sababu mtaani tunaona mnara mmoja tu unahudumia karibu mtaa mzima...
  20. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…