mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  2. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Chadema wajitoe tu kwenye kesi ya Mbowe!

    Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia sana hii kesi ya mbowe mwanzo mwisho nimegundua vitu vingi sana ikiwemo ukiukwaji wa mambo mengi sana...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

    Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao. Heshima kwenu pia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Bure kwa Mawakili Wasomi - Utetezi

    Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu. Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana yanahatarisha matumbo ya watu yenye uchu uliopitiliza. Jambo moja la hakika lenye kutia moyo ni kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

    Hapo vipi!! Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana. Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama. Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali. Ninachokiona...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
  12. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
  13. JamiiForums Tanzania Mawakili wasumbufu dawa yao nini?

    Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa.. Copy ya hukumu ..hawampi.. Ushirikiano sifuri... Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI? Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii? What if walikula rushwa? Je unaweza kwenda wapi kuomba...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mawakili huwa wanasalimianaje mahakamani?

    Wajuvi wa mambo naomba mnijuze "Hivi mawakili uwa wanasalimianaje mahakamani?"
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mawakili wa shetani kwenye makongamano ya siku ya Nyerere.

    Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na kujenga hoja kuwa hafai kuwa mtakatifu. Kwahiyo, huyu mtu anayepewa utakatifu alikuwa ni bora sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Apinga Mawakili kuzuiwa kutangaza Biashara yao

    Wakili wa kujitegemea mkoani Iringa, Geofrey Mwakasege amefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (kanda ya Iringa) akitaka mahakama hiyo itamke kuwa mawakili wa kujitegemea wana haki ya kutangaza huduma za kisheria kwa umma kama zilivyo biashara nyingine. Katika kesi hiyo namba...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mawakili wa Serikali dhidi ya Adamoo

    Mawakili wa Serikali wanadai Adamoo alikamatwa kwa mujibu wa sheria na tena akatoa maelezo kwa kina Kingai kwa mujibu wa sheria na bila shinikizo. Hivyo wanaitaka mahakama kuyapokea maelezo hayo kama ushahidi wa kuaminika dhidi ya watuhumiwa kwenye shauri la msingi. Adamoo kaeleza mwenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningesoma sosiolojia ili kusaidia jamii kuliko kusaidia wahalifu kama wale mawakili wasomi wanavyojinadi

    “I am a sociologist because. . . .” I am curious about the world in which I live I am fascinated by all things social I am intrigued about why people do the things they do I am interested in how people interact with each other I believe that society is a human invention and I want to know how...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…