mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

    Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea! Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha. Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi...
  2. H

    Wakristo Tumeonywa, Tusifunge Kwa Kujionesha kwa Watu, Wala Tusirarue Mavazi Yetu Bali Turarue Mioyo Yetu Iliyo na Dhambi.

    Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam. Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi. Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
  3. Mavazi yetu

    Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na hutumika kama wenye nayo watakavyo kuyatumia. Daudi havikwa mavazi ya Mfalme ili aweze kuwa askari...
  4. Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  5. D

    Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  6. Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  7. Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  8. Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

    Kazakhstan yenye raia wengi waislamu(70%) kupitia bunge la nchi hiyo imepiga marufuku vazi la niqab katika umma kwa wanawake wa taifa hilo. Mwaka 2023 Kazakhstan ilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wanafunzi na walimu katika shule za taifa hilo.
  9. Mavazi na matumizi ya ngozi ya chui wa Africa

    Ngozi ya chui hutumika kama ishara yenye nguvu ya uungu na mamlaka katika tamaduni mbalimbali za Kiafrika, inayojumuisha nguvu, uhusiano wa kiroho, na utambulisho wa jamii. Katika Kusini mwa Afrika, watu wa Himba wa Namibia wanaona ngozi ya chui kama ishara ya utajiri na uhalali wa viongozi...
  10. K

    Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  11. Mavazi ya mabinti wa vituo vya kuuzia mafuta yanawadhalilisha na kutia kinyaa!!

    Habari za muda huu waungwana...... Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho la kiungwana hayaja kaa Sawa...... Sasa sijui ndio muongozo na matakwa ya kazi yao au ni utashi...
  12. Mavazi ya Jeshi na bajeti zake USA

    Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili mazingira mbalimbali ya mapigano. Gharama ya mavazi haya inategemea na aina ya kikosi (kama Army, Navy...
  13. Wanawake, jipambeni kwa mavazi ya kusitiri mwili

    Katika ulimwengu wa leo, mitindo ya mavazi imegeuka kuwa uwanja wa mashindano ya kuonyesha miili badala ya kuonyesha heshima, adabu, na utu wa mwanamke. Kinachosikitisha ni kwamba hata wanawake wanaodai wanamjua Mungu sasa wamekumbatia mavazi mafupi, suruali za kubana na mavazi yanayoacha wazi...
  14. Trump apost picha akiwa amevaa mavazi kama Papa, Uongozi wa Kikatoliki New York wamshukia

    Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa). Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi habari kuhusu nani angependelea awe papa, akajitaja yeye mwenyewe lakini ghafla akabadili na kuonesha...
  15. Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  16. Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  17. Live From Golden Jubilee Hall, DSM, Miaka 30 ya VETA, Kongamano la Wadau Sekta Nguo na Mavazi: "Watanzania Vaeni Nguo za Tanzania" Made in Tanzania!.

    Wanabodi https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek https://youtu.be/EEMSp2L7MZk Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
  18. R

    Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

    Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9 Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita. Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
  19. R

    Mliowahi kuwa watanashati kwenye mavazi, jambo hili ina uzito kiasi gani kuvutia wanawake

    Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k. Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
  20. Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…