maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Dawa ya maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF natumaini muwazima Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani, CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito Asanteni sana
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emma Kimambo: Lema amesababishia maumivu watu wengi, amehusika kufukuza wanachama wenzetu

    Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
  4. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Kama si hapa tuseme wapi? Maumivu hayawezi kunyamaza!

    Hii Game Imekuwa Chafu Sana… Who’s Gonna Clean Up the Mess? Kuna wakati moyo unachoka. Kuna wakati macho yanakataa kulala. Kuna wakati maneno yanakataa kunyamaza hata kama ulimi umebanwa. Hii ni hiyo time. Tumefika mwisho wa uvumilivu. Mtu anabebwa home kwake, usiku, kimyakimya. Hakuna doc...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili sasa familia Mdude Nyagali ipo kwenye maumivu makali

    Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana wanapitia ndugu zake. Kwa kosa gani kijana mdogo yule atendewe aliyotendewa? Kwa kosa gani alilolifanya...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  8. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kijana wangu wa miaka 9 kuwa na maumivu ya mgongo

    Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa ndoo ya maji asubuhi na jioni Majibu ya vipimo Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama...
  10. jaap

    JamiiForums Tanzania Msaada jino maumivu ya jino

    Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho Mtoto wa kiume miaka9 akivuta pumzi ndani au kupumua sehemu ya mgogo yote anahisi maumivu

    Habari wakuu nimerudi kwenu kijana wangu siku ya Eid pili aliniambia anahisi akiwa anapumua au kuvuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yoote ya mgongo,nkamuuliza Hali imekuanza lini akasema Leo Leo ambayo ndo ilikua siku ya Eid pili Nikamuhoji kuhusu shule kama alianguka akasema...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kiuno na shingo

    Habari za muda huu Wana JF Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno muda mrefu hii nahisi nikutokana na kubeba mizigo mizigo ila Hadi kufikia Sasa sio kiuno tuu balii napingili za UTI wa mgongo maeneo ya shingo pamoja na mishipa kiujumla,nikifanya kazi kidogo natoa jasho sana kunamdaa najihisi uchovu...
  14. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Nimegundua nipo kwenye level ya mwisho kabisa ya Maumivu

    Champion popote ulipo Amani iwe nawe. Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika. Kupitia maumivu nimeyatambua haya: 1: Ukiwa hapa Duniani, Ukiwa umepigika jua hiyo ndo jehanamu yako, achana na story za kuna...
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Iwapo unahisi maumivu, basi bado uko hai. Iwapo unahisi maumivu ya wengine, basi wewe ni binadamu

    By Æfrica Macka Bara ----------------------------------- Kauli hii ina ujumbe mzito kuhusu ubinadamu na hisia za huruma. Sehemu ya kwanza inaeleza kuwa maumivu ni ishara ya uhai—ukiwa na hisia, hata kama ni za maumivu, basi bado unaishi. Sehemu ya pili inazama zaidi katika utu: kuhisi maumivu...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kitovu kwa mtoto wa kike

    Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara tatizo halionekani! Kwa mara nyingine nmeenda tena kuoanana na specialist wa watoto..akafanyiwa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania “Everyday” ya Phil Collins: Simulizi ya Maumivu na Kumbukumbu za Mapenzi

    “Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu ya tumbo la chini pamoja na maumivu ya pumbu.

    nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same situation. tatizo la pili nimefanya kipimo cha sperm, haziruki na haziendi na nyingi...
  19. Mwangi T.

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  20. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Maumivu Wakati Wa Tendo Kwa Mwanamke.

    Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia. Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, na yanaweza kusababishwa na sababu za kimwili au za kisaikolojia. Leo katika mada...
Back
Top Bottom