Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’.
Awali, Lagat aliwasilisha malalamiko dhidi ya Ojwang’, akimtuhumu kwa kusambaza taarifa za uongo. Mwalimu huyo...