mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  2. Q

    PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  3. R

    China, Urusi, Korea Kaskazini na Hamas walaani mauaji ya Ayatollah Khamenei

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya kibinadamu na sheria za kimataifa. Putin alitoa salamu za pole kwa Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian...
  4. Q

    Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  5. M

    Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  6. ngara23

    Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo Ila Nina maswali najiuliza 1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
  7. Q

    Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  8. R

    Rufaa ya aliyekuwa dereva wa wanamgambo wa Kihutu Mauaji ya kimbari Rwanda kuendeshwa Paris

    Kesi ya rufaa ya raia wa ufaransa mwenye asili ya Rwanda anayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya kimbari imefunguliwa Jumanne katika Mahakama ya Assize ya Paris. Claude Muhayimana alipatikana na hatia mwaka 2021 kwa kosa la kushiriki katika mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu, na...
  9. Z

    Walizoea kuleta documentary za Rwanda na Congo, sasa rasmi zipo za Tanzania

    Tuwashukuru CNN, Al Jazeera na BBC kwa kuweka sawa documentary za mauaji ya katika nchi ya Tanzania Kila ukifika Uchaguzi, walizoea kutishia wa-TZ kwa documentary za mauaji ya Rwanda, na Congo. Mungu Ibariki ICC huyu awe rais wa kwanza ktk EAC kujibu Mashtaka...
  10. H

    Vatican yasisitiza kufanyika kwa uchunguzi huru kufuatia mauaji ya Oktoba 2025

    Kutokana na upotoshaji wa baadhi ya watu kuhusiana na ziara ya Waziri Kombo, huko Vatican; Vatican na Kanisa Katoliki Tanzania kwa kupitia taasisi yake za Kanisa, ya Wasomi wataalam, imetoa ufafanuzi kuepusha upotoshaji: 1. Waziri Kombo alimweleza Papa kuwa Samia ameunda tume kuchunguza matukio...
  11. Mafyangula

    POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  12. Q

    Kesho tarehe 29/01/2026 ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya MO29

    Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.
  13. Echolima1

    Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia ametoa hotuba. Hotuba Kamili ya Waziri Sa'ar: "Ninasimama hapa kama mwakilishi wa Wayahudi...
  14. NGUVU NDOGO NI IPI

    Waliohusika na mauaji sasa hivi watakuwa wanapongezana na kutaniana

    Ndio sasa hivi watakuwa wanataniana kuwa mwenzangu ulikuwa unalenga vizuri, mwingine atasema kuna mtu nilimpiga ya kichwa alikufa namuona roho inaumia, lakini wengine wanaombea itokee Tena Wengine watakuwa wanajuta na kulia na kumsihi Mungu awasamehe
  15. H

    Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  16. Mto wa mbu

    Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  17. W

    SI KWELI ICC itatoa hukumu mwezi huu January 2026, kuhusu mauaji yaliyotokea Oktoba, 2025

    Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa; "=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi...
  18. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  19. DuaZaMama

    Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
  20. Bawabu wa pili

    Ukweli Wafichuka Kesi ya Shakahola, Mshitakiwa Akiri Mauaji ya Watu 191, Wengi Wakiwa Watoto

    Katika kesi ya mauaji ya Shakahola nchini Kenya, Enos Amanya maarufu kama “Hallelujah” ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa. Amanya, mmoja wa washitakiwa 29, alisema alishiriki katika mauaji na mazishi ya waathiriwa kati ya Januari 2021 na Septemba...
Back
Top Bottom