matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata haya matunda kwa hapa Dar es salaam?

    Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano yetu ndani ya JF yanazaa matunda zaidi ya yale ya Gen-Z ?

    Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa. Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya kisera na kujaribu kushirikisha umma kwa majadiliano mfano waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Lameck...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

    Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Mti wenye matunda sharti upigwe mawe

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake. Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  7. JamiiForums Tanzania Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  8. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima: 3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  11. JamiiForums Tanzania Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  12. JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  13. JamiiForums Tanzania Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

    Kwa mahitaji ya Miche ya muda mfupi ;- *Miembe *Michungwa *Chenza *Parachichi *Passion *Pera *Apple Miche ya viungo -mdalasini -mchaichai -mint -rosemary -ukwaju -iliki n.k **Wasiliana nasi kwa namba 0683017311 call&Whatsapp **Pia unaweza kufika kwenye kitalu chetu Tunapatikana morogoro mjini...
  15. JamiiForums Tanzania Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kitasaidia mti wa mwembe kuzaa matunda?

    Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana. Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake. Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu baadhi ya umuhimu ya kula matunda nusu saa kabla ya kula mlo

    Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango. Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…