matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi Affidavit na deedpoll

    Habari za wakati huu wanajami mwaka jana mwezi wa 11 niliemda utumishi kwa ajili ya usahili lakini kutokana na changamoto ya majina katika vyeti vyangu nikalazimika kutafuta affidavit ili iwe msaada katika kutatua hilo na kweli nilifanikiwa kufanya usahili sasa siku ya jana utumishi wameita watu...
  2. D

    Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  3. Kamati Yapongeza Matumizi ya Mapato ya Ndani Kukamilisha Miradi Tunduma

    KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
  4. L

    Shule ya msingi Mseta ipangiwe matumizi mengine baada ya kufungwa tokea mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi

    Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za Serikali mazuri na yanayofaa kutumika. Mimi kama mdau nimeona kama Shule ilifungwa kwa tatizo la...
  5. Habari wana jf? Naomba elimu juu ya matumizi ya bolt (taxmtandao)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva POINT 1. Ni makosa...
  6. Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

    Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
  7. Ndugu Walimu, tujiandae na matumizi ya kompyuta

    Inavyoonekana USAILI wa mchujo kunaweza kuwa na computer.
  8. Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  9. Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

    Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
  10. T

    Pesa inayofaa kuacha kwa matumizi ya familia yenye watoto wawili wasiozidi miaka 5

    Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo: Kodi, bima za afya za watoto na mama yao, maji, umeme, ving'amuzi, ada ya mtoto aliyeanza kusoma, mavazi na mengineyo...
  11. Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024

    Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024; 1. Ruvuma ulitumia tani 100,000, 2. Njombe tani 75,358, 3. Mbeya tani 75,252, 4. Songwe tani 71,230 5. Iringa tani 44,214.
  12. Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

    Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize cost as you can kama "earning" haiongezeki Mwakani wakuu rum ya elfu 20 ya umeme mbagala inatosha...
  13. Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  14. LATRA CCC yakusanya maoni ya matumizi ya Kadi za Mwendokasi, una lolote? Bonyeza Link utoe ya moyoni

    Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
  15. Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  16. Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  17. Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia

    Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...
  18. DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  19. Matumizi sahihi ya vipaza sauti ( microphones)

    Habari zenu wanajamvi, Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili. Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi tumekuwa tukitumia vipaza sauti tena kwa kupokezana yaani unakuta kipaza...
  20. T

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…