matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  2. Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, akosea matumizi ya serikali, ayaita ni mabaya hayana tija

    Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, amekosoa matumizi ya serikali, akiyaita ni mabaya na yasiyo na tija. Akichangia Bungeni mwelekeo wa bajeti ya 2025/26 na mpango wa maendeleo wa Taifa, alisisitiza umuhimu wa kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa miradi yenye manufaa kwa wananchi. Amesema...
  3. Hoja za Msingi Juu ya Uhalalishaji wa Matumizi ya Bangi: Mtazamo wa Mdau wa Maisha

    Tangu mwaka 2018, nimekuwa nikitumia bangi kama sehemu ya safari yangu ya kubadilisha maisha. Nilipoamua kuacha pombe, ilikuwa uamuzi mgumu lakini wa lazima. Kila nilipotazama mustakabali wangu, niliona wazi kuwa ulevi ungeweza kuangamiza malengo yangu. Nilipomaliza masomo yangu Mbeya mwaka...
  4. Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  5. Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  6. R

    Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  7. J

    Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

    Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo Unanijua Mimi ni Nani?" na wengine waliwahi kutuhumiwa kutumia Mamlaka yao kuvunja Sheria za nchi...
  8. Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  9. Laini kuacha kusoma ghafula tu nikiwa katikati ya kuperuzi intaneti au hata matumizi mengine

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  10. Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
  11. Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  12. Maeneo 10 ya kupunguza matumizi yako ili usevu kiasi kikubwa cha pesa

    Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo. Tunaangazia maeneo 10 ambayo ukiyazingatia itakusaidia kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kinachobakia 1. PUNGUZA MATUMIZI YA KODI YA...
  13. Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  14. W

    Fahamu matumizi mbalimbali ya Baking Soda

    Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria. Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
  15. Matumizi yangu ya mwezi

    Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000 Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi Silipi kodi Total 1.1m Income 1.3m
  16. Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  17. Waziri Mkuu aipongeza DAWASA kuchagiza matumizi ya nishati safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaaam (DAWASA) kwa kuchagiza agenda ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia kupitia utekelezaji wa Mradi wa uchakataji topetaka (Fecal Sludge Treatment Plant)...
  18. Service Road' nyingi zimekuwa sio salama kwa Watumiaji, kuna uzembe unafanyika na kusababisha ajali nyingi

    Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia usalama barabarani hususani 'Traffic' pamoja na wadau wengine, lakini bado kuna changamoto ya msisitizo wa matumizi stahiki ya 'service road' hasa Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya barabara ambazo...
  19. MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  20. D

    Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…