matumizi ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Mimi naamini maneno ya Kitila matumizi ya fedha za dhahabu, kuliko ya hao wengine, Je, wewe?

    Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi, scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana. Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini???? Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
  2. R

    Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  3. Papaa Mobimba

    Unaridhishwa na taarifa ya mapato na matumizi ya fedha Serikali ya Mtaani kwako?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa wazi katika vikao pamoja na kubandika kwenye mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kila mwaka wa fedha unapoisha. Lakini je, wananchi wanashiriki kikamilifu katika kusimamia uwazi huu? Je, umewahi...
  4. OLS

    Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  5. Mr Why

    Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  6. M

    Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  7. Harvey Specter

    Serikali yatangaza Kanuni zinazokataza Matumizi ya Fedha za Kigeni kulipia bidhaa au huduma nchini

    Kufuatia kuongezeka kwa miamala ya fedha za kigeni katika manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini, Wizara ya Fedha kupitia Sheria ya Benki Kuu, Sura ya 197 imetangaza Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025. Kanuni hizi zimeanza kutumika rasmi Machi 28, 2025. Kanuni namba 2...
  8. Logikos

    Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?

    Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...
  9. R

    Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  10. Trubarg

    Je, hakuna Sheria inayoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi?

    Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
  11. F

    SoC04 TAKUKURU inawezaje kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo ili kuzuia ubadhirifu na udanganyifu?

    Utangulizi Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Tanzania ina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya...
  12. Roving Journalist

    Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2024/25

    TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25 Upandishaji Vyeo Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
  13. W

    Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  14. OLS

    Hati za Ukaguzi: Uwazi na Uwajibikaji katika Matumizi ya Fedha za Umma

    Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma. Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...
  15. Mwl.RCT

    SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  16. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
  17. Roving Journalist

    Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya bajeti ya Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/24
  18. Roving Journalist

    Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  19. Roving Journalist

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
Back
Top Bottom