matumizi mabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa. Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya madaraka na Kuisababishia Bunge/Serikali hasara :Aione Ayubu wa Kongwa

    Wasalaam wana JF Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19 Naomba kushauri
  3. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

    Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako. Ni hiari ya raisi kuteua na kutengua wala halazimishwi. Ila inapotokea kelele za nje kuonekana tishio kwa maamuzi yake asitumie...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe

    Kesi ndogo ya Mohammed Ling'wenya iwe nafasi ya kuzianika mbivu na mbichi zote hadharani. Iliyodhaniwa nia njema (ya kusaka haki tu) kuwapo japo kidogo, imeshadhihirika kuwa haipo. Si jaji si mashtaka haonekani anayewaelewa. Kwa maana hiyo hapa sasa inabidi kieleweke. Kumwangalia nyani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

    Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
  6. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya simu chanzo cha rushwa ya ngono maofisini

    Matumizi mabaya ya simu yametajwa kuwa chanzo cha rushwa ya ngono maofisini, na kundi linalo athirika zaidi ni wanawake/wasichana ambao wanarubuniwa na mabosi wao kwa lengo la kupata vyeo. Nauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Ndg. Jabiri Shekimweri wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu...
Back
Top Bottom